Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Soka la Afrika (CAF)
Kombe la Shirikisho barani Afrika
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Ibenge Aihofia Simba Kwa Mkapa

KOCHA wa RS Berkane ya Morocco, Florent Ibengé amesema kuwa mpira wa Simba wanapokuwa katika uwanja wao wa nyumbani ni kikwazo kuelekea katika mchezo wao wa marudiano wa michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika.

Simba wanatarajiwa kuwakaribisha RS Berkae katika mchezo wa marudiano unaotarajiwa kufanyika Machi 13, katika Uwanja wa Mkapa. Simba wanaingia katika mchezo huo wakiwa na kumbukumbu ya kupoteza mchezo wa kwanza kwa mabao 2-0 ugenini.

Akizungumza na Championi Jumatano, Kocha Ibenge aliweka wazi kuwa anazikumbuka mechi ambazo amekutana na Simba katika Uwanja Mkapa huku akiwa na kumbukumbu ya kutokupata hata sare jambo ambalo linampa wakati mgumu kuelekea katika mchezo huo.

“Hakuna ambacho hakipo wazi, nimepoteza michezo mingi, sina kumbukumbu ya kushinda dhidi ya Simba katika uwanja wao, ni rekodi mbaya kwangu lakini sitaki kuona ikijirudia safari hii kwa kuwa kuna mengi yamebadilika katika mpira sio historia mara zote.

“Malengo yetu ni kushinda michezo mingi zaidi ili tuweze kusonga mbele katika michuano hii, katika kundi letu utofauti unatakiwa kuuonyesha katika kupata matokeo ya ugenini, tunatakiwa kufanya hivyo,” alisema kocha huyo.

[QUOTE="vuligate, post: 1219, member: 123"] [HEADING=1]Ibenge Aihofia Simba Kwa Mkapa[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/03/Florent_Ibenge.jpg[/IMG] KOCHA wa RS Berkane ya Morocco, Florent Ibengé amesema kuwa mpira wa Simba wanapokuwa katika uwanja wao wa nyumbani ni kikwazo kuelekea katika mchezo wao wa marudiano wa michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika. Simba wanatarajiwa kuwakaribisha RS Berkae katika mchezo wa marudiano unaotarajiwa kufanyika Machi 13, katika Uwanja wa Mkapa. Simba wanaingia katika mchezo huo wakiwa na kumbukumbu ya kupoteza mchezo wa kwanza kwa mabao 2-0 ugenini. Akizungumza na [B]Championi Jumatano[/B], Kocha Ibenge aliweka wazi kuwa anazikumbuka mechi ambazo amekutana na Simba katika Uwanja Mkapa huku akiwa na kumbukumbu ya kutokupata hata sare jambo ambalo linampa wakati mgumu kuelekea katika mchezo huo. “Hakuna ambacho hakipo wazi, nimepoteza michezo mingi, sina kumbukumbu ya kushinda dhidi ya Simba katika uwanja wao, ni rekodi mbaya kwangu lakini sitaki kuona ikijirudia safari hii kwa kuwa kuna mengi yamebadilika katika mpira sio historia mara zote. “Malengo yetu ni kushinda michezo mingi zaidi ili tuweze kusonga mbele katika michuano hii, katika kundi letu utofauti unatakiwa kuuonyesha katika kupata matokeo ya ugenini, tunatakiwa kufanya hivyo,” alisema kocha huyo. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Soka la Afrika (CAF)
Kombe la Shirikisho barani Afrika
Top
Bottom