Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Soka la Afrika (CAF)
Kombe la Shirikisho barani Afrika
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Morrison amchimba Mkwara Ibenge “Kwa Mkapa Hutoki”

Kiungo mshambuliaji wa Simba Sc, Bernard Morrison ‘BM3’ amemkaribisha Kocha wake wa zamani, Florent Ibenge nchini Tanzania huku akimtisha kuwa katika mchezo wao na Simba, hawatatoka salama katika Dimba la Mkapa.

Ibenge ambaye ni Kocha Mkuu wa RS Berkane ya Morocco aewasili Tanzania na timu yajke hiyo jana Alhamisi, Machi 10, 2022 kwa ajili ya mchezo wa raundi ya nne hatua ya Makundi ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika utakaopigwa Jumapili Machi 13.

Kupitia Ukurasa wake wa Isntagram, Morrison ameandika; “Whenever I see you, it reminds me of the day you brought me from Ghana to Congo DR and told me that you will help me grow The rest is history the only sad thing is that at Mkapa Stadium we forget what you’ve done nobody survives here.

Welcome to Dar Es Salaam Father

Kila nikikuona inanikumbusha siku ambayo ulinitoa kutoka Ghana hadi Congo DR na kuniambia utanisaidia kukua Mengine ni historia cha kusikitisha tu ni pale kwa Mkapa Stadium tunasahau ulichofanya. Hakuna anayepona hapa.

Karibu Dar Es Salaam Baba.”

Katika mchezo wa kwanza kati ya Simba na Berkane uliopigwa Morocco, Simba aliambulia kichapo cha bao 2-0, hivyo ana kila sababu ya kuhakikisha anautumia vizuri uwanja wa nyumbani kuhakikisha anapata alama tatu muhimu.

Ikumbukwe kuwa, Morrison aliwahi kuitumikia AS Vita Club ya Congo DR msimu wa mwaka 2016, ambayo Kocha wake mkuu alikuwa Ibenge.

[QUOTE="mhariri, post: 1232, member: 122"] [HEADING=1]Morrison amchimba Mkwara Ibenge “Kwa Mkapa Hutoki”[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/03/74063710.jpg[/IMG] Kiungo mshambuliaji wa Simba Sc, Bernard Morrison ‘BM3’ amemkaribisha Kocha wake wa zamani, Florent Ibenge nchini Tanzania huku akimtisha kuwa katika mchezo wao na Simba, hawatatoka salama katika Dimba la Mkapa. Ibenge ambaye ni Kocha Mkuu wa RS Berkane ya Morocco aewasili Tanzania na timu yajke hiyo jana Alhamisi, Machi 10, 2022 kwa ajili ya mchezo wa raundi ya nne hatua ya Makundi ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika utakaopigwa Jumapili Machi 13. Kupitia Ukurasa wake wa Isntagram, Morrison ameandika; [I]“Whenever I see you, it reminds me of the day you brought me from Ghana to Congo DR and told me that you will help me grow The rest is history the only sad thing is that at Mkapa Stadium we forget what you’ve done nobody survives here. Welcome to Dar Es Salaam Father Kila nikikuona inanikumbusha siku ambayo ulinitoa kutoka Ghana hadi Congo DR na kuniambia utanisaidia kukua Mengine ni historia cha kusikitisha tu ni pale kwa Mkapa Stadium tunasahau ulichofanya. Hakuna anayepona hapa. Karibu Dar Es Salaam Baba.”[/I] Katika mchezo wa kwanza kati ya Simba na Berkane uliopigwa Morocco, Simba aliambulia kichapo cha bao 2-0, hivyo ana kila sababu ya kuhakikisha anautumia vizuri uwanja wa nyumbani kuhakikisha anapata alama tatu muhimu. Ikumbukwe kuwa, Morrison aliwahi kuitumikia AS Vita Club ya Congo DR msimu wa mwaka 2016, ambayo Kocha wake mkuu alikuwa Ibenge. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Soka la Afrika (CAF)
Kombe la Shirikisho barani Afrika
Top
Bottom