Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Soka la Afrika (CAF)
Kombe la Shirikisho barani Afrika
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

MANULA AOKOA PENALTI MBILI, SIMBA YAPIGWA 3-0

MABINGWA wa Tanzania, Simba SC wamechapwa mabao 3-0 na wenyeji wahamiaji, ASEC Mimosas katika mchezo wa Kundi D Kombe la Shirikisho Afrika leo Uwanja wa Jénérali Mathieu Kerekoumjini Cotonou nchini Benin.

Mabao ya ASEC yamefungwa na viungo Aubin Kramo Kouamé dakika ya 16, Mburkina Faso, Stephane Aziz Ki dakika ya 25 na mshambuliaji Karim Konaté dakika 57.

Lakini sifa zimuendee kipa namba moja wa Tanzania, Aishi Salum Manula kwa kuokoa mikwaju miwili ya penalti ya Konaté dakika ya 36 na mshambuliaji mwingine, Anicet Alain Oura dakika ya 90.

Kwa matokeo hayo, ASEC inafikisha pointi tisa na kupanda kileleni kwa Kundi D, ikizizidi pointi mbili Simba na RSB Berkane ya Morocco, wakati US Gendamarie inaendelea kushika mkia sasa ikifikisha pointi tano baada ya wote kucheza mechi tano kuelekea mechi za mwisho wikiendi ijayo.

Wakati ASEC watamalizia ugenini dhidi ya Berkane, Simba watamalizia nyumbani na US Gendamarie kuwania nafasi mbili za juu ili kwenda Robo Fainali.

Simba ndio inaongoza Kundi D kwa pointi zake saba, ikifuatiwa na RSB Berkane pointi sita sawa na ASEC, wakati USGN inashika mkia kwa pointi zake tano.

[QUOTE="Amir, post: 1282, member: 20"] [HEADING=2]MANULA AOKOA PENALTI MBILI, SIMBA YAPIGWA 3-0[/HEADING] [IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgOPM9Z-n_nYtFn-2DdBvAaynSGv-vPAvDQ48-TPdsU7ywkPmq99x8pZwTf5W5Hmj1xwi7SDmKdwiAkhj3tIYdaRY2RxMd5A_k1XeolRHD3L9ff45uSR1b1GdaGadOQqogELjPzZ8Dl4KUuFE3i65ieFeTnfVctkUr9M6yu6pAD8C0-syB39561TRXw/w640-h416/9CDCB84A-3849-458F-A42E-F30B2F4A185D.jpeg[/IMG] MABINGWA wa Tanzania, Simba SC wamechapwa mabao 3-0 na wenyeji wahamiaji, ASEC Mimosas katika mchezo wa Kundi D Kombe la Shirikisho Afrika leo Uwanja wa Jénérali Mathieu Kerekoumjini Cotonou nchini Benin. Mabao ya ASEC yamefungwa na viungo Aubin Kramo Kouamé dakika ya 16, Mburkina Faso, Stephane Aziz Ki dakika ya 25 na mshambuliaji Karim Konaté dakika 57. Lakini sifa zimuendee kipa namba moja wa Tanzania, Aishi Salum Manula kwa kuokoa mikwaju miwili ya penalti ya Konaté dakika ya 36 na mshambuliaji mwingine, Anicet Alain Oura dakika ya 90. Kwa matokeo hayo, ASEC inafikisha pointi tisa na kupanda kileleni kwa Kundi D, ikizizidi pointi mbili Simba na RSB Berkane ya Morocco, wakati US Gendamarie inaendelea kushika mkia sasa ikifikisha pointi tano baada ya wote kucheza mechi tano kuelekea mechi za mwisho wikiendi ijayo. Wakati ASEC watamalizia ugenini dhidi ya Berkane, Simba watamalizia nyumbani na US Gendamarie kuwania nafasi mbili za juu ili kwenda Robo Fainali. Simba ndio inaongoza Kundi D kwa pointi zake saba, ikifuatiwa na RSB Berkane pointi sita sawa na ASEC, wakati USGN inashika mkia kwa pointi zake tano. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Soka la Afrika (CAF)
Kombe la Shirikisho barani Afrika
Top
Bottom