Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Soka la Afrika (CAF)
Kombe la Shirikisho barani Afrika
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

BERKANE WATOZWA FAINI MILIONI 250 FUJO DHIDI YA SIMBA

SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF) limeitoza faini klabu ya RS Berkane ya Morocco faini ya jumla ya dola za Kimarekani 108,000, zaidi ya Sh. 250 za Tanzania kwa kufanya vurugu kwenye mechi zote mbili za nyumbani na ugenini dhidi ya Simba.

Katika mechi hizo za Kundi D Kombe la Shirikisho Afrika, nchini Morocco mashabiki wa Berkane waliwatupia vitu wachezaji wa Simba Uwanja wa Manispaa ya Berkane, Februari 27, mwaka huu wenyeji wakishinda 2-0 na kwa kosa hilo wametozwa faini ya dola 8,000.

Na kwenye mchezo wa marudiano Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam, wenyeji Simba wakiibuka na ushindi wa 1-0 Machi 13, Makamu wa Rais wa Berkane, Majjid Madrane alivamia uwanjani na kuwaongoza wachezaji wake kuwafanyia fujo marefa.

Kwa kosa hilo, Kamati ya Nidhamu ya CAF kwanza imemfungia Madrane kujihusisha na shughuli zozote za soka zinazotambauliwa na bodi hiyo ya kandanda barani kwa mwaka mmoja pamoja na kumpiga faini ya dola za Kimarekani 100,000.

[QUOTE="Amir, post: 1336, member: 20"] [HEADING=2]BERKANE WATOZWA FAINI MILIONI 250 FUJO DHIDI YA SIMBA[/HEADING] [IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiR_wSlA59o0QNZsJsxzlqkitk4RXgo7EcXk86Ai8ZimLNAOzYsKRPssFNNjFVsLfOGJw5L5qeQpB1aVL_iv5fDpk7rr16ZNtxHZbpBTuIu003zbf6F46Pe0qd6JhGR6SybXlCSK3KDYP-Wm29UdvWdskC9Je3TQ6Iq_zGBTAszogW3Q49V2UWKPZfK/w640-h418/simba%20v%20berkane%20@binzubery.jpg[/IMG] SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF) limeitoza faini klabu ya RS Berkane ya Morocco faini ya jumla ya dola za Kimarekani 108,000, zaidi ya Sh. 250 za Tanzania kwa kufanya vurugu kwenye mechi zote mbili za nyumbani na ugenini dhidi ya Simba. Katika mechi hizo za Kundi D Kombe la Shirikisho Afrika, nchini Morocco mashabiki wa Berkane waliwatupia vitu wachezaji wa Simba Uwanja wa Manispaa ya Berkane, Februari 27, mwaka huu wenyeji wakishinda 2-0 na kwa kosa hilo wametozwa faini ya dola 8,000. Na kwenye mchezo wa marudiano Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam, wenyeji Simba wakiibuka na ushindi wa 1-0 Machi 13, Makamu wa Rais wa Berkane, Majjid Madrane alivamia uwanjani na kuwaongoza wachezaji wake kuwafanyia fujo marefa. Kwa kosa hilo, Kamati ya Nidhamu ya CAF kwanza imemfungia Madrane kujihusisha na shughuli zozote za soka zinazotambauliwa na bodi hiyo ya kandanda barani kwa mwaka mmoja pamoja na kumpiga faini ya dola za Kimarekani 100,000. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Soka la Afrika (CAF)
Kombe la Shirikisho barani Afrika
Top
Bottom