Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Soka la Afrika (CAF)
Kombe la Shirikisho barani Afrika
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Adebayor Awaandalia Sapraizi Simba Uwanja wa Mkapa

KIUNGO mshambuliaji wa US Gendarmerie, Victorien Adebayor, ameweka wazi kuwa atahakikisha anapambana kwa nguvu ili kuisaidia timu yake kupata ushindi dhidi ya Simba,Jumapili ijayo kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar.

Mchezo huo wa mwisho wa hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho utapigwa Jumapili ya Aprili 3, unatarajia kuwa mkali kwani kila timu ina nafasi ya kwenda robo fainali ikiwa itashinda mchezo huo, wageni wanatarajia kutua nchini kesho Alhamisi.

Licha ya hivyo, Adebayor ambaye amefunga mabao matatu kwenye michuano hiyo anahusishwa kutakiwa na Simba na hivi karibuni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Simba, Salim Try Again aliweka wazi kuwa wangependa kumsajili nyota huyo.

Akizungumza na Championi Jumatano, Adebayor alisema kuwa. “Licha ya mchezo huu na Simba kuwa muhimu sana kwetu na kwao ila nitakuwa na furaha sana kuwaona mashabiki wa Simba na kuweza kucheza nao nyumbani.

“Kwa upande wangu maandalizi ya mchezo huo yapo vizuri na sina presha yoyote kuelekea mchezo huo na nitajitahidi kufanya vizuri ili kuisaidia timu yangu.”

[QUOTE="mhariri, post: 1349, member: 122"] [HEADING=1]Adebayor Awaandalia Sapraizi Simba Uwanja wa Mkapa[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/03/Victorien-Adebayor-87-scaled-1.jpg[/IMG] KIUNGO mshambuliaji wa US Gendarmerie, Victorien Adebayor, ameweka wazi kuwa atahakikisha anapambana kwa nguvu ili kuisaidia timu yake kupata ushindi dhidi ya Simba,Jumapili ijayo kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar. Mchezo huo wa mwisho wa hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho utapigwa Jumapili ya Aprili 3, unatarajia kuwa mkali kwani kila timu ina nafasi ya kwenda robo fainali ikiwa itashinda mchezo huo, wageni wanatarajia kutua nchini kesho Alhamisi. Licha ya hivyo, Adebayor ambaye amefunga mabao matatu kwenye michuano hiyo anahusishwa kutakiwa na Simba na hivi karibuni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Simba, Salim Try Again aliweka wazi kuwa wangependa kumsajili nyota huyo. Akizungumza na Championi Jumatano, Adebayor alisema kuwa. “Licha ya mchezo huu na Simba kuwa muhimu sana kwetu na kwao ila nitakuwa na furaha sana kuwaona mashabiki wa Simba na kuweza kucheza nao nyumbani. “Kwa upande wangu maandalizi ya mchezo huo yapo vizuri na sina presha yoyote kuelekea mchezo huo na nitajitahidi kufanya vizuri ili kuisaidia timu yangu.” [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Soka la Afrika (CAF)
Kombe la Shirikisho barani Afrika
Top
Bottom