Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Soka la Afrika (CAF)
Kombe la Shirikisho barani Afrika
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

SIMBA NA GENDAMARIE KUCHEZWA SAA 4:00 USIKU

MCHEZO baina ya wenyeji, Simba SC na US Gendamarie ya Niger utachezwa muda mmoja na mchezo mwingine wa mwisho wa Kundi D Kombe la Shirikisho Afrika kati ya wenyeji, RSB Berkane na ASEC Mimosas Jumapili.

Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limeamua mechi zote zianze Saa 4:00 usiku ili kuondoa uwezekano wa upangwaji matokeo iwapo michezo hiyo itachezwa muda tofauti.

Wakati Simba watakuwa wenyeji wa US Gendamarie Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam, ASEC watakuwa wageni wa Berkane Uwanja wa Manispaa ya Berkane nchini Morocco, Saa 4:00 usiku.

ASEC ndio inaongoza Kundi D kwa pointi zake tisa, ikifuatiwa na Berkane na Simba zenye pointi saba kila moja, wakati Gendamarie ina pointi tano, maana yake timu zote zinaweza kumaliza nafasi mbili za juu na kwenda Robo Fainali.

[QUOTE="Amir, post: 1351, member: 20"] [HEADING=2]SIMBA NA GENDAMARIE KUCHEZWA SAA 4:00 USIKU[/HEADING] [IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjxjhnDSjNEDSsg6BZHMa7lCzYAEp-_JzxYPlLITdOmIsh4SJbwlx5bob9cRxUzCsGTEGBbn1KdbvWuwCb5-KFvxqnGqLjEYzhALtJcAnWI-o350tZiabr0Hzz-UReZFYCc_3XwjDbJ1G2DSbJIk91unaXPNtDYPB1wKNMaySu9FSqz1Vx42pYtelh7/w640-h424/B336935B-E95C-4214-8669-D2E426DEB728.jpeg[/IMG] MCHEZO baina ya wenyeji, Simba SC na US Gendamarie ya Niger utachezwa muda mmoja na mchezo mwingine wa mwisho wa Kundi D Kombe la Shirikisho Afrika kati ya wenyeji, RSB Berkane na ASEC Mimosas Jumapili. Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limeamua mechi zote zianze Saa 4:00 usiku ili kuondoa uwezekano wa upangwaji matokeo iwapo michezo hiyo itachezwa muda tofauti. Wakati Simba watakuwa wenyeji wa US Gendamarie Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam, ASEC watakuwa wageni wa Berkane Uwanja wa Manispaa ya Berkane nchini Morocco, Saa 4:00 usiku. ASEC ndio inaongoza Kundi D kwa pointi zake tisa, ikifuatiwa na Berkane na Simba zenye pointi saba kila moja, wakati Gendamarie ina pointi tano, maana yake timu zote zinaweza kumaliza nafasi mbili za juu na kwenda Robo Fainali. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Soka la Afrika (CAF)
Kombe la Shirikisho barani Afrika
Top
Bottom