Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Soka la Afrika (CAF)
Kombe la Shirikisho barani Afrika
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Beki Tegemeo wa Orlando Pirates Apata Ajali Mbaya, Akimbizwa Hospitalini

Beki wa Kushoto wa Klabu ya Orlando Pirates Paseka Mako amepelekwa hospitali baada ya kuumia uwanjani

BEKI wa Orlando Pirates, Paseka Mako alikimbizwa Hospitali kupewa huduma jana Aprili 12 baada ya kupata majeraha walipogongana na kipa Richard Ofori kwenye mchezo wa DStv Premiership dhidi ya Baroka FC uliochezwa Uwanja wa Peter Mokaba.

Ilikuwa ni kwenye muda wa nyongeza ambapo beki huyo aliweza kugongana na mchezaji mwenzake ambaye ni kipa Ofori aliyekuwa akitimiza majukumu yake kuweza kuhakikisha kwamba mpira haujazama kwenye nyavu zake.

Wachezaji wa timu zote mbili wakiweka uzio ili kupisha kupatiwa matibabu kwa Paseka Mako

Imethibitishwa kwamba kwa sasa beki huyo anapambania afya yake baada ya kupata maumivu ya kichwa na haraka sana mwamuzi wa kati Masixole Bambiso ambaye alikuwa karibu kwenye mchezo huo aliwaita watu wa huduma ya kwanza.

Ofori naye aliweza kutazamwa na kupewa huduma ya kwanza na yote yalifanywa kwa haraka ili kuweza kuokoa maisha ya wachezaji hao waliokuwa wakitimiza majukumu yao.

Kutokana na jambo hilo wachezaji wa timu zote mbili Pirates na Baroka waliunda duara ili kuweza kumlinda mchezaji huyo wakati akipewa huduma ya kwanza kwenye mchezo huo uliokamilika kwa sare ya bila kufugana.

Orlando Pirates wanatarajiwa kucheza mchezo wa Kombe la Shirikisho hatua ya robo fainali dhidi ya Simba, Aprili 17, Uwanja wa Mkapa

[QUOTE="mhariri, post: 1411, member: 122"] [HEADING=1]Beki Tegemeo wa Orlando Pirates Apata Ajali Mbaya, Akimbizwa Hospitalini[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/04/batch_paseka.jpg[/IMG] [I][B] Beki wa Kushoto wa Klabu ya Orlando Pirates Paseka Mako amepelekwa hospitali baada ya kuumia uwanjani[/B][/I] BEKI wa Orlando Pirates, Paseka Mako alikimbizwa Hospitali kupewa huduma jana Aprili 12 baada ya kupata majeraha walipogongana na kipa Richard Ofori kwenye mchezo wa DStv Premiership dhidi ya Baroka FC uliochezwa Uwanja wa Peter Mokaba. Ilikuwa ni kwenye muda wa nyongeza ambapo beki huyo aliweza kugongana na mchezaji mwenzake ambaye ni kipa Ofori aliyekuwa akitimiza majukumu yake kuweza kuhakikisha kwamba mpira haujazama kwenye nyavu zake. [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/04/59C21371-7967-407C-9AFB-F7A853AD41E0.jpeg[/IMG] [I][B] Wachezaji wa timu zote mbili wakiweka uzio ili kupisha kupatiwa matibabu kwa Paseka Mako[/B][/I] Imethibitishwa kwamba kwa sasa beki huyo anapambania afya yake baada ya kupata maumivu ya kichwa na haraka sana mwamuzi wa kati Masixole Bambiso ambaye alikuwa karibu kwenye mchezo huo aliwaita watu wa huduma ya kwanza. Ofori naye aliweza kutazamwa na kupewa huduma ya kwanza na yote yalifanywa kwa haraka ili kuweza kuokoa maisha ya wachezaji hao waliokuwa wakitimiza majukumu yao. Kutokana na jambo hilo wachezaji wa timu zote mbili Pirates na Baroka waliunda duara ili kuweza kumlinda mchezaji huyo wakati akipewa huduma ya kwanza kwenye mchezo huo uliokamilika kwa sare ya bila kufugana. Orlando Pirates wanatarajiwa kucheza mchezo wa Kombe la Shirikisho hatua ya robo fainali dhidi ya Simba, Aprili 17, Uwanja wa Mkapa [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Soka la Afrika (CAF)
Kombe la Shirikisho barani Afrika
Top
Bottom