Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Soka la Afrika (CAF)
Kombe la Shirikisho barani Afrika
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Ni Zaidi ya Umafia! ASEC Mimosas Ya Ivory Coast Wajipange.

NI zaidi ya umafia! Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia kile ambacho Benchi la Ufundi la Simba limekifanya katika

maandalizi kuelekea mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya ASEC Mimosas ya Ivory Coast.

Katika umafia huo, Simba wamemtumia beki wao wa kati raia wa Ivory Coast, Pascal Wawa ambaye amevujisha mbinu zote za wapinzani wao hao jambo lililomfanya Kocha Mkuu, Pablo Franco, kuanza kutabasamu akiona tayari wamepata pa kuanzia.

Simba Jumapili hii, watakuwa na kibarua cha mchezo wa kwanza wa Kundi D katika Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya ASEC Mimosas utakaopigwa kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar es Salaam.

Wawa amewahi kuichezea ASEC Mimosas kwa kipindi cha miaka nane tangu 2003 mpaka 2011 ambapo

alijiunga na Al Merreikh ya Sudan, kabla ya kutua Azam alipocheza 2014 hadi 2016, kisha akarudi Al Merrikh.

Baada ya hapo, 2017 akatua Simba alipo hadi sasa.

Akizungumza na Spoti Xtra kuhusu wapinzani wao hao, Wawa alisema: “Najisikia furaha kupata nafasi ya

kucheza tena dhidi ya ASEC Mimosas baada ya kupita takribani miaka 12, hii ni timu ambayo ilinipa nafasi ya

kujulikana na kucheza Sudan na sasa Tanzania.

“Utakuwa mchezo mzuri kutokana na ukweli kwamba wachezaji wao wengi wanatokea kwenye vituo vya

kukuzia vipaji.

“Utamaduni wao kwa kiasi kikubwa ni wa kucheza mpira wa kiufundi na kumiliki zaidi mchezo, lakini sio

wazuri sana katika mpira wa nguvu, hivyo kama tutaweza kuwakaba na kuwashambulia kwa nguvu basi ni wazi

lazima tutapata matokeo mazuri dhidi yao.”

Naye Kocha Mkuu wa Simba, Pablo Franco, alisema: “Tunauelekea mchezo mgumu dhidi ya ASEC Mimosas, lakini niwaweke wazi kuwa tumejipanga vizuri kuhakikisha tunashinda.

“Kupitia njia zetu mbalimbali tumefanya tathimini ya ubora na upungufu wao, hivyo tunajua nini cha kufanya.” Katika Kundi D, mbali na ASEC Mimosas, Simba imepangwa na timu za RS Berkane ya Morocco na Union Sportive Gendarmerie

[QUOTE="Amir, post: 854, member: 20"] [HEADING=1]Ni Zaidi ya Umafia! ASEC Mimosas Ya Ivory Coast Wajipange.[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/02/273175120_151972573854602_4461920906590845852_n1.jpg[/IMG] NI zaidi ya umafia! Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia kile ambacho Benchi la Ufundi la Simba limekifanya katika maandalizi kuelekea mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya ASEC Mimosas ya Ivory Coast. Katika umafia huo, Simba wamemtumia beki wao wa kati raia wa Ivory Coast, Pascal Wawa ambaye amevujisha mbinu zote za wapinzani wao hao jambo lililomfanya Kocha Mkuu, Pablo Franco, kuanza kutabasamu akiona tayari wamepata pa kuanzia. Simba Jumapili hii, watakuwa na kibarua cha mchezo wa kwanza wa Kundi D katika Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya ASEC Mimosas utakaopigwa kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar es Salaam. Wawa amewahi kuichezea ASEC Mimosas kwa kipindi cha miaka nane tangu 2003 mpaka 2011 ambapo alijiunga na Al Merreikh ya Sudan, kabla ya kutua Azam alipocheza 2014 hadi 2016, kisha akarudi Al Merrikh. Baada ya hapo, 2017 akatua Simba alipo hadi sasa. [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/02/ASEC-Mimosas-1.jpg[/IMG] Akizungumza na Spoti Xtra kuhusu wapinzani wao hao, Wawa alisema: “Najisikia furaha kupata nafasi ya kucheza tena dhidi ya ASEC Mimosas baada ya kupita takribani miaka 12, hii ni timu ambayo ilinipa nafasi ya kujulikana na kucheza Sudan na sasa Tanzania. “Utakuwa mchezo mzuri kutokana na ukweli kwamba wachezaji wao wengi wanatokea kwenye vituo vya kukuzia vipaji. “Utamaduni wao kwa kiasi kikubwa ni wa kucheza mpira wa kiufundi na kumiliki zaidi mchezo, lakini sio wazuri sana katika mpira wa nguvu, hivyo kama tutaweza kuwakaba na kuwashambulia kwa nguvu basi ni wazi lazima tutapata matokeo mazuri dhidi yao.” [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/02/ASEC-Mimosas-2.jpg[/IMG] Naye Kocha Mkuu wa Simba, Pablo Franco, alisema: “Tunauelekea mchezo mgumu dhidi ya ASEC Mimosas, lakini niwaweke wazi kuwa tumejipanga vizuri kuhakikisha tunashinda. “Kupitia njia zetu mbalimbali tumefanya tathimini ya ubora na upungufu wao, hivyo tunajua nini cha kufanya.” Katika Kundi D, mbali na ASEC Mimosas, Simba imepangwa na timu za RS Berkane ya Morocco na Union Sportive Gendarmerie [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Soka la Afrika (CAF)
Kombe la Shirikisho barani Afrika
Top
Bottom