Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Soka la Afrika (CAF)
Kombe la Shirikisho barani Afrika
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Simba, ASEC kitapigwa sana.

ASEC Mimosas ya Ivory Coast, tayari imeshatua jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuvaana na Simba katika pambano la kwanza la Kundi D, huku Kocha Mkuu wa Wekundu wa Msimbazi, Pablo Franco akiweka jeshi lake vizuri kwa mchezo huo.

Timu hizo zinakutana kwa mara ya kwanza tangu zilipokutana mwaka 2003 katika mechi za makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, lakini rekodi baina yao zinaonyesha kuwa pambano hilo soka litapigwa sana Uwanja Benjamin Mkapa.

Katika mechi hizo za mwaka 2003, Simba ilishinda nyumbani kwa bao 1-0 kisha kunyukwa mabao 4-3.lakini vijana wa Pablo wanatakiwa kuwa makini na Asec hasa kwa kipindi cha pili kutokana na mwenendo iliyoonyesha katika michezo mitano iliyopita kwenye ligi yao ya ndani huko Ivory Coast.

Takwimu zinaonyesha ndani ya michezo hiyo, imepachika mabao 10 na kuruhusu nyavu zao kuguswa mara mbili tu, hiyo inatoa picha kuwa wana safu nzuri ya ushambuliaji yenye wastani wa kupachika mabao mawili kwenye kila mchezo.

Vinara hao wa Ligi Kuu Ivory Coast wamekuwa hatari zaidi kipindi cha pili kwani ndani ya mabao 10 waliyofunga kwenye michezo mitano iliyopita asilimia 80 (mabao 8) wamepachika kipindi cha pili.

Hivyo, Pablo na vijana wake, ambao wamekuwa wakiwatumia kwenye safu yao ya ulinzi wakiongozwa na kipa, Aishi Manula, Shomary Kapombe, Mohammed Hussein, Joash Onyango na Hennock Inonga pamoja na Jonas Mkude ambaye anatumika kama kiungo mkabaji wanapaswa kuongeza umakini.

[QUOTE="vuligate, post: 879, member: 123"] [HEADING=1]Simba, ASEC kitapigwa sana.[/HEADING] [IMG alt="ASEC PIC"]https://www.mwanaspoti.co.tz/resource/image/3714068/landscape_ratio16x9/1160/652/11347730bb039a9b8e9dbee04af94b5e/Ew/asec-pic.jpg[/IMG] ASEC Mimosas ya Ivory Coast, tayari imeshatua jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuvaana na Simba katika pambano la kwanza la Kundi D, huku Kocha Mkuu wa Wekundu wa Msimbazi, Pablo Franco akiweka jeshi lake vizuri kwa mchezo huo. Timu hizo zinakutana kwa mara ya kwanza tangu zilipokutana mwaka 2003 katika mechi za makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, lakini rekodi baina yao zinaonyesha kuwa pambano hilo soka litapigwa sana Uwanja Benjamin Mkapa. Katika mechi hizo za mwaka 2003, Simba ilishinda nyumbani kwa bao 1-0 kisha kunyukwa mabao 4-3.lakini vijana wa Pablo wanatakiwa kuwa makini na Asec hasa kwa kipindi cha pili kutokana na mwenendo iliyoonyesha katika michezo mitano iliyopita kwenye ligi yao ya ndani huko Ivory Coast. Takwimu zinaonyesha ndani ya michezo hiyo, imepachika mabao 10 na kuruhusu nyavu zao kuguswa mara mbili tu, hiyo inatoa picha kuwa wana safu nzuri ya ushambuliaji yenye wastani wa kupachika mabao mawili kwenye kila mchezo. Vinara hao wa Ligi Kuu Ivory Coast wamekuwa hatari zaidi kipindi cha pili kwani ndani ya mabao 10 waliyofunga kwenye michezo mitano iliyopita asilimia 80 (mabao 8) wamepachika kipindi cha pili. Hivyo, Pablo na vijana wake, ambao wamekuwa wakiwatumia kwenye safu yao ya ulinzi wakiongozwa na kipa, Aishi Manula, Shomary Kapombe, Mohammed Hussein, Joash Onyango na Hennock Inonga pamoja na Jonas Mkude ambaye anatumika kama kiungo mkabaji wanapaswa kuongeza umakini. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Soka la Afrika (CAF)
Kombe la Shirikisho barani Afrika
Top
Bottom