Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Soka la Afrika (CAF)
Kombe la Shirikisho barani Afrika
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

SIMBA SC YAANZA NA GIA KUBWA MAKUNDI AFRIKA, YAICHAPA ASEC 3-1.

WENYEJI, Simba Sports Club wameanza vyema mechi za Kundi D Kombe la Shirikisho Afrika baada ya ushindi wa 3-1 dhidi ya mabingwa wa zamani Afrika, ASEC Mimosas jioni ya leo Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.

Mabao ya Simba SC yamefungwa na kiungo Msenegal, Pape Ousmane Sakho dakika ya 12 kwa til-tak akimalizia krosi ya beki wa kulia, Shomari Salum Kapombe ambaye alifunga bao la pili kwa penalti dakika ya 79.

Penalti hiyo ilitolewa baada ya kipa wa ASEC, Abdoul Karim Cissé kugongana na winga wa Simba, Yussuf Valentine Mhilu kwenye boksi.

Na ilikuja baada ya kiungo Stephane Aziz Ki kuisawazishia ASEC dakika ya 60, kufuatia kumhadaa beki Mkongo wa Simba, Hennock Inonga Baka ‘Varane’ kabla ya kumchambua kipa namba moja Tanzania, Aishi Salum Manula.

Kiungo wa kimataifa wa Malawi, Peter Banda akaihakikishia Simba SC pointi tatu katika mechi ya kwanza ya Kundi D kwa bao lake zuri dakika ya 81 akimalizia pasi ya Nahodha, John Raphael Bocco.

Mechi ijayo Simba itakuwa ugenini kuwafuata Union Sportive Gendarmerie Nationale Jumapili ijayo Uwanja wa Jénérali Seyni Kountché Jijini Niamey nchini Niger.

[QUOTE="Amir, post: 881, member: 20"] [HEADING=2]SIMBA SC YAANZA NA GIA KUBWA MAKUNDI AFRIKA, YAICHAPA ASEC 3-1.[/HEADING] [IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEgm3Bq49gL-NhLI-pCcuJ1lCZJXaRaOV2bl8S7dnINgYhMhYTIGhYNK9YaRq3eogRZ3BjoED_rn1sL52e2FLZFI-KD6K2Rk1YzgfNECNfjSOH66PnKM3Z6zC9UvmmQmK5Ugqtt63T9fKm0YuKtILQjpwt5mk-MXh1HPEq3_NCBVFMt9m6VEmW_SqUJm=w640-h420[/IMG] WENYEJI, Simba Sports Club wameanza vyema mechi za Kundi D Kombe la Shirikisho Afrika baada ya ushindi wa 3-1 dhidi ya mabingwa wa zamani Afrika, ASEC Mimosas jioni ya leo Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam. Mabao ya Simba SC yamefungwa na kiungo Msenegal, Pape Ousmane Sakho dakika ya 12 kwa til-tak akimalizia krosi ya beki wa kulia, Shomari Salum Kapombe ambaye alifunga bao la pili kwa penalti dakika ya 79. Penalti hiyo ilitolewa baada ya kipa wa ASEC, Abdoul Karim Cissé kugongana na winga wa Simba, Yussuf Valentine Mhilu kwenye boksi. Na ilikuja baada ya kiungo Stephane Aziz Ki kuisawazishia ASEC dakika ya 60, kufuatia kumhadaa beki Mkongo wa Simba, Hennock Inonga Baka ‘Varane’ kabla ya kumchambua kipa namba moja Tanzania, Aishi Salum Manula. Kiungo wa kimataifa wa Malawi, Peter Banda akaihakikishia Simba SC pointi tatu katika mechi ya kwanza ya Kundi D kwa bao lake zuri dakika ya 81 akimalizia pasi ya Nahodha, John Raphael Bocco. Mechi ijayo Simba itakuwa ugenini kuwafuata Union Sportive Gendarmerie Nationale Jumapili ijayo Uwanja wa Jénérali Seyni Kountché Jijini Niamey nchini Niger. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Soka la Afrika (CAF)
Kombe la Shirikisho barani Afrika
Top
Bottom