Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
KOMBE LA SHIRIKISHO LA AZAM SPORTS.
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Moja tu Simba, Yanga kinapigwa

MASHABIKI wa soka Tanzania huenda wakashuhudia kipute cha watani wa jadi Simba, Yanga kwenye nusu fainali ya kombe la Shirikisho Azam (ASFC) kama kila mmoja itashinda mechi yake ya robo fainali.

Katika upangaji wa droo leo Februari 21 robo fainali ya kwanza itawakutanisha Yanga dhidi ya Geita Gold na mshindi wa mchezo huo ataenda kucheza na mshindi wa robo fainali ya pili kati ya Simba dhidi ya Pamba huku mechi hizo zote zikichezwa katika uwanja wa Benjamin Mkapa.

Yanga wana kazi ya kufanya mbele ya Geita ili kujihakikishia kwenda nusu fainali kutokana na walipokutana kwenye Ligi Kuu Yanga walipata ushindi wa 1-0 huku mchezo ukiwa na ushindani mkubwa.

Simba na Yanga mara ya mwisho kukutana kwenye mchezo wa nusu fainali ilikuwa Julai 12 huku Simba wakishinda 4-1.

Kulingana na namna ambavyo droo imechezeshwa timu hizo hazitokutana katika fainali kama ilivyokuwa msimu uliopita.

Msimu uliopita timu hizo zilicheza fainali na Simba walipata ushindi wa 1-0 uliochezwa katika uwanja wa Lake Tanganyika, Kigoma.

Robo fainali ya tatu itawakutanisha Azam dhidi ya Polisi Tanzania na mshindi wa mchezo huo atakutana na mshindi wa robo fainali ya nne utakaowakutanisha Coastal Union dhidi ya Kagera Sugar.

Hatua ya robo fainali itaanza kuchezwa April 8-13 huku nusu fainali ikitarajia kuchezwa Mei.

Upande wa nusu fainali mchezo wa kwanza utachezwa kwtika uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Arusha huku nusu fainali ya pili ukichezwa CCM Kirumba.

[QUOTE="Amir, post: 1020, member: 20"] [HEADING=1]Moja tu Simba, Yanga kinapigwa[/HEADING] [IMG alt="robo pic"]https://www.mwanaspoti.co.tz/resource/blob/3724096/aa7f4d9b6965ec0b5f30ad7c1714bb4f/robo-pic-data.jpg[/IMG] MASHABIKI wa soka Tanzania huenda wakashuhudia kipute cha watani wa jadi Simba, Yanga kwenye nusu fainali ya kombe la Shirikisho Azam (ASFC) kama kila mmoja itashinda mechi yake ya robo fainali. Katika upangaji wa droo leo Februari 21 robo fainali ya kwanza itawakutanisha Yanga dhidi ya Geita Gold na mshindi wa mchezo huo ataenda kucheza na mshindi wa robo fainali ya pili kati ya Simba dhidi ya Pamba huku mechi hizo zote zikichezwa katika uwanja wa Benjamin Mkapa. Yanga wana kazi ya kufanya mbele ya Geita ili kujihakikishia kwenda nusu fainali kutokana na walipokutana kwenye Ligi Kuu Yanga walipata ushindi wa 1-0 huku mchezo ukiwa na ushindani mkubwa. [IMG alt="robo pic 1"]https://www.mwanaspoti.co.tz/resource/image/3724106/landscape_ratio16x9/1160/652/d46a070231ddc198fac849e56b570069/RP/robo-pic-1.jpg[/IMG] Simba na Yanga mara ya mwisho kukutana kwenye mchezo wa nusu fainali ilikuwa Julai 12 huku Simba wakishinda 4-1. Kulingana na namna ambavyo droo imechezeshwa timu hizo hazitokutana katika fainali kama ilivyokuwa msimu uliopita. Msimu uliopita timu hizo zilicheza fainali na Simba walipata ushindi wa 1-0 uliochezwa katika uwanja wa Lake Tanganyika, Kigoma. Robo fainali ya tatu itawakutanisha Azam dhidi ya Polisi Tanzania na mshindi wa mchezo huo atakutana na mshindi wa robo fainali ya nne utakaowakutanisha Coastal Union dhidi ya Kagera Sugar. Hatua ya robo fainali itaanza kuchezwa April 8-13 huku nusu fainali ikitarajia kuchezwa Mei. Upande wa nusu fainali mchezo wa kwanza utachezwa kwtika uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Arusha huku nusu fainali ya pili ukichezwa CCM Kirumba. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
KOMBE LA SHIRIKISHO LA AZAM SPORTS.
Top
Bottom