Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
KOMBE LA SHIRIKISHO LA AZAM SPORTS.
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Mzee Dalali Awataka Yanga SC Nusu Fainali ASFC

MWENYEKITI wa Baraza la Wazee la Simba, Hassan Dalali amefunguka kuwa anatamani kikosi chao kikutane na Yanga kwenye mchezo wa nusu fainali ya Kombe la Shirikisho (ASFC) ili wajitengenezea mazingira mazuri ya kutwaa ubingwa wa kombe hilo kwa mara ya tatu mfululizo.

Simba wana uwezekano mkubwa wa kukutana na Yanga kwenye kombe hilo endapo timu hizo zitashinda mechi zake za robo fainali. Simba wamepangwa na Pamba huku Yanga wakitarajiwa kucheza na Geita Gold.

Mzee Dalali ameliambia Championi Jumamosi, kuwa: “Nina imani tutapata matokeo kwenye mechi ya robo fainali ili tuweze kutinga hatua ya nusu fainali na tunawaombea wenzetu Yanga wapate matokeo dhidi ya Geita ili tukutane nao kwenye hatua ya nusu fainali tuwafunge vizuri.

“Msimu wa 2020 tuliwafunga mabao 4-1 kwenye nusu fainali pia msimu uliopita tuliwafunga kwenye mchezo wa fainali kule Kigoma, hivyo Yanga ni timu ambayo tumeifunga mara nyingi kwenye michuano hii na tunatamani pia tukutane nao kwenye hatua ya nusu fainali ili tuendeleze ubabe dhidi yao.”

[QUOTE="Amir, post: 1096, member: 20"] [HEADING=1]Mzee Dalali Awataka Yanga SC Nusu Fainali ASFC[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/02/Capture-2.jpg[/IMG] MWENYEKITI wa Baraza la Wazee la Simba, Hassan Dalali amefunguka kuwa anatamani kikosi chao kikutane na Yanga kwenye mchezo wa nusu fainali ya Kombe la Shirikisho (ASFC) ili wajitengenezea mazingira mazuri ya kutwaa ubingwa wa kombe hilo kwa mara ya tatu mfululizo. Simba wana uwezekano mkubwa wa kukutana na Yanga kwenye kombe hilo endapo timu hizo zitashinda mechi zake za robo fainali. Simba wamepangwa na Pamba huku Yanga wakitarajiwa kucheza na Geita Gold. Mzee Dalali ameliambia Championi Jumamosi, kuwa: “Nina imani tutapata matokeo kwenye mechi ya robo fainali ili tuweze kutinga hatua ya nusu fainali na tunawaombea wenzetu Yanga wapate matokeo dhidi ya Geita ili tukutane nao kwenye hatua ya nusu fainali tuwafunge vizuri. “Msimu wa 2020 tuliwafunga mabao 4-1 kwenye nusu fainali pia msimu uliopita tuliwafunga kwenye mchezo wa fainali kule Kigoma, hivyo Yanga ni timu ambayo tumeifunga mara nyingi kwenye michuano hii na tunatamani pia tukutane nao kwenye hatua ya nusu fainali ili tuendeleze ubabe dhidi yao.” [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
KOMBE LA SHIRIKISHO LA AZAM SPORTS.
Top
Bottom