Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
KOMBE LA SHIRIKISHO LA AZAM SPORTS.
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

YANGA YAENDA KUISUBIRI SIMBA NUSU FAINALI ASFC

VIGOGO, Yanga SC wamefanikiwa kwenda Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) baada ya ushindi wa penalti 7-6 kufuatia sare ya 1-1 ndani ya dakika 90 Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.

Geita Gold walitangulia kwa bao la Offen Chikola dakika ya 87, kabla ya Yanga kusawazisha kwa bao la mkwaju wa penalti wa beki Mkongo, Djuma Shabani dakika ya 90 na ushei.

Waliofunga penalti za Yanga ni Saido Ntibanzokiza, Yanick Bangala, Fiston Kalala Mayele, Jesus Moloko, Djuma Shabani, Bakari Mwanyeto na Dickson Job, wakati kipa Djigui Diarra alipiga nje.

Upande wa Geita Gold waliofunga ni Yussuf Kagoma, George Mpole, David Kameta ’Duchu’, Adeyoum Ahmed, Offen Chikola na Kelvin Yondan, wakati wachezaji wawili wa zamani wa Yanga, viungo wote walikosa, Maka Edward iligonga mwamba na Juma Mahadhi ilifikia mikononi mwa kipa Diarra.

Sasa Yanga itakutana na mshindi wa Robo Fainali ya mwisho kati ya mabingwa watetezi, Simba SC na Pamba FC ya Mwanza.

[QUOTE="mhariri, post: 1392, member: 122"] [HEADING=2]YANGA YAENDA KUISUBIRI SIMBA NUSU FAINALI ASFC[/HEADING] [URL='https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjJlj0pLytVgS6uRGT2xgi7ACGlQe2UqpKRQNiUtJINeJ0bjHXkQMjv5n6mq3bqiH2JkVXwQbfZyKGxJo2RCxmIcGfsEa8rc0n9uSZnsvMOkfSy_iSrBMFRfaSxZRYsjvzX38bX_Jph2xuwGEEpgbIt1PtOi64E95bYDlSey4njHfTY2YBFB_ZALKzx/s1242/4A750AF8-D023-4E80-A1AF-14CD3478327C.jpeg'][IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjJlj0pLytVgS6uRGT2xgi7ACGlQe2UqpKRQNiUtJINeJ0bjHXkQMjv5n6mq3bqiH2JkVXwQbfZyKGxJo2RCxmIcGfsEa8rc0n9uSZnsvMOkfSy_iSrBMFRfaSxZRYsjvzX38bX_Jph2xuwGEEpgbIt1PtOi64E95bYDlSey4njHfTY2YBFB_ZALKzx/w640-h422/4A750AF8-D023-4E80-A1AF-14CD3478327C.jpeg[/IMG][/URL] VIGOGO, Yanga SC wamefanikiwa kwenda Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) baada ya ushindi wa penalti 7-6 kufuatia sare ya 1-1 ndani ya dakika 90 Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam. Geita Gold walitangulia kwa bao la Offen Chikola dakika ya 87, kabla ya Yanga kusawazisha kwa bao la mkwaju wa penalti wa beki Mkongo, Djuma Shabani dakika ya 90 na ushei. Waliofunga penalti za Yanga ni Saido Ntibanzokiza, Yanick Bangala, Fiston Kalala Mayele, Jesus Moloko, Djuma Shabani, Bakari Mwanyeto na Dickson Job, wakati kipa Djigui Diarra alipiga nje. Upande wa Geita Gold waliofunga ni Yussuf Kagoma, George Mpole, David Kameta ’Duchu’, Adeyoum Ahmed, Offen Chikola na Kelvin Yondan, wakati wachezaji wawili wa zamani wa Yanga, viungo wote walikosa, Maka Edward iligonga mwamba na Juma Mahadhi ilifikia mikononi mwa kipa Diarra. Sasa Yanga itakutana na mshindi wa Robo Fainali ya mwisho kati ya mabingwa watetezi, Simba SC na Pamba FC ya Mwanza. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
KOMBE LA SHIRIKISHO LA AZAM SPORTS.
Top
Bottom