Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
KOMBE LA SHIRIKISHO LA AZAM SPORTS.
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

DODOMA JIJI, POLISI ZASONGA MBELE KOMBE LA TFF.

TIMU ya Dodoma Jiji FC imefanikiwa kwenda Hatua ya 16 Bora Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) baada ya ushindi wa 4-0 dhidi ya Sumbawanga United usiku huu Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma.

Mabao ya Dodoma Jiji FC yamefungwa na Khamis Mcha mawili, moja kwa penalti dakika ya tisa na lingine dakika ya 22, wakati mengine yamefungwa na Seif Abdallah Karihe dakika ya 30 na Anuary Jabir dakika ya 80.

Mechi nyingine za 32 Bora michuano hiyo maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC), Polisi Tanzania imeitoa Ndanda FC kwa kuichapa 3-1, wakati Bagamoyo Friends imeitoa Catamine kwa kuichapa 2-1.

[QUOTE="Amir, post: 589, member: 20"] [HEADING=2]DODOMA JIJI, POLISI ZASONGA MBELE KOMBE LA TFF.[/HEADING] [IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEgWmvfJ0gdlhep7ad_TAHuzzbFcZwdnrcK4BNfixM5pJVzQmMxm32FwQkLCqWdDLB1s93bHq6VSZ8z6kiKyJN-Zva-EhoBzFnP2FdG4W4SziRCIbskJkHFgDyzJG4YriWLcmiPNtq6G8b5FB5ippPng7TnQXeaqd-HXYp4H2emnRmuuq-Z6xa06NB0v=w640-h536[/IMG] TIMU ya Dodoma Jiji FC imefanikiwa kwenda Hatua ya 16 Bora Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) baada ya ushindi wa 4-0 dhidi ya Sumbawanga United usiku huu Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma. Mabao ya Dodoma Jiji FC yamefungwa na Khamis Mcha mawili, moja kwa penalti dakika ya tisa na lingine dakika ya 22, wakati mengine yamefungwa na Seif Abdallah Karihe dakika ya 30 na Anuary Jabir dakika ya 80. Mechi nyingine za 32 Bora michuano hiyo maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC), Polisi Tanzania imeitoa Ndanda FC kwa kuichapa 3-1, wakati Bagamoyo Friends imeitoa Catamine kwa kuichapa 2-1. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
KOMBE LA SHIRIKISHO LA AZAM SPORTS.
Top
Bottom