Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
KOMBE LA SHIRIKISHO LA AZAM SPORTS.
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

AZAM, NAMUNGO NA PAMBA ZASONGA MBELE ASFC .

BAO la Nahodha, beki mkongwe Aggrey Morris dakika ya 30 limeipa Azam FC ushindi wa 1-0 dhidi ya Transit Camp katika mchezo wa Hatua ya 32 Bora Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) usiku huu Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam.

Kwa ushindi huo, Azam FC inakwenda Hatua ya 16 Bora ya michuano hiyo maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC), ambako itamenyana na timu ya Daraja la Kwanza, Bagamoyo Friends iliyoitoa Catamine jana.

Mechi nyingine za leo za Azam Sports Federation Cup, Namungo FC imeitoa Lindi United kwa kuichapa 2-0 Uwanja wa Ilulu mjini Lindi na Pamba FC imeitoa Stand United kwa kuichapa 2-1 Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza.

Mabao yote ya Namungo yalifungwa kwa penalti na Shiza Kichuya na Ibrahim Mkoko, wakati ya Pamba yalifungwa na Willy Magai na Moses Msukanywele .

[QUOTE="vuligate, post: 607, member: 123"] [HEADING=2]AZAM, NAMUNGO NA PAMBA ZASONGA MBELE ASFC .[/HEADING] [URL='https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEgX05V6xh31gPFx56v8XZZhoQGXv6vWa8rTdZ_owOhXoCBY7klLJwEaciUb3_C1gtg48FUSW4f0lHXCZywPbriQKWvNT1-JUqYVKJnslvj0MlnUpvKqmPQLdNo1sT4gaJ0N-GQgRZQaaE_QAIOt2Lp9KzBGX1F1dPH4NgyPh4tZBw7kINu9SEgaoJPV=s1080'][IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEgX05V6xh31gPFx56v8XZZhoQGXv6vWa8rTdZ_owOhXoCBY7klLJwEaciUb3_C1gtg48FUSW4f0lHXCZywPbriQKWvNT1-JUqYVKJnslvj0MlnUpvKqmPQLdNo1sT4gaJ0N-GQgRZQaaE_QAIOt2Lp9KzBGX1F1dPH4NgyPh4tZBw7kINu9SEgaoJPV=w640-h640[/IMG][/URL] BAO la Nahodha, beki mkongwe Aggrey Morris dakika ya 30 limeipa Azam FC ushindi wa 1-0 dhidi ya Transit Camp katika mchezo wa Hatua ya 32 Bora Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) usiku huu Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam. Kwa ushindi huo, Azam FC inakwenda Hatua ya 16 Bora ya michuano hiyo maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC), ambako itamenyana na timu ya Daraja la Kwanza, Bagamoyo Friends iliyoitoa Catamine jana. Mechi nyingine za leo za Azam Sports Federation Cup, Namungo FC imeitoa Lindi United kwa kuichapa 2-0 Uwanja wa Ilulu mjini Lindi na Pamba FC imeitoa Stand United kwa kuichapa 2-1 Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza. Mabao yote ya Namungo yalifungwa kwa penalti na Shiza Kichuya na Ibrahim Mkoko, wakati ya Pamba yalifungwa na Willy Magai na Moses Msukanywele . [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
KOMBE LA SHIRIKISHO LA AZAM SPORTS.
Top
Bottom