Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
KOMBE LA SHIRIKISHO LA AZAM SPORTS.
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

MAYELE AIPELEKA YANGA 16 BORA KOMBE LA TFF.

VIGOGO, Yanga SC wamefanikiwa kutinga Hatua ya 16 Bora Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Mbao FC Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza jioni ya leo.

Bao pekee la Yanga leo limefungwa na mshambuliaji wake tegemeo, Mkongo Fiston Kalala Mayele dakika ya 54 kwa kichwa akimalizia krosi maridadi ya kiungo mzawa, Farid Mussa Malik kutoka kulia.

Matokeo ya mechi nyingine ya 32 Bora ASFC , Ruvu Shooting imeitoa KMC kwa penalti 6-5 baada ya sare ya 1-1 Uwanja wa Azam Complex, Chamazi nje kidogo ya Jiji l Dar es Salaam.

KMC ilianza vizuri kwa kutangulia na bao la Iddi Kipagwile, kabla ya Abrahaman Mussa kuisawazishia Ruvu Shooting na kwenye mikwaju ya penalti kipa Benedict Tinocco alipngua shuti la Kenny Ally.

[QUOTE="vuligate, post: 608, member: 123"] [HEADING=2]MAYELE AIPELEKA YANGA 16 BORA KOMBE LA TFF.[/HEADING] [URL='https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEi09Ucpcv0zRNtBlt1GAakaNuXNVSlFfdvxQt4aLN3c6oY67LdkCRNFVbGCUaehA9xlFJfvaoJT2K8xAV13cYV8Ofpu4pIcPG1KRbpipP6iAfh1X5HdIbdThIK0t60rIohnOCMf0HlL8TrPueVa9AV_IEM87sgGX-CzQ7koy_j8bHcNM7hYq3O4vaPo=s1080'][IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEi09Ucpcv0zRNtBlt1GAakaNuXNVSlFfdvxQt4aLN3c6oY67LdkCRNFVbGCUaehA9xlFJfvaoJT2K8xAV13cYV8Ofpu4pIcPG1KRbpipP6iAfh1X5HdIbdThIK0t60rIohnOCMf0HlL8TrPueVa9AV_IEM87sgGX-CzQ7koy_j8bHcNM7hYq3O4vaPo=w640-h582[/IMG][/URL] VIGOGO, Yanga SC wamefanikiwa kutinga Hatua ya 16 Bora Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Mbao FC Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza jioni ya leo. Bao pekee la Yanga leo limefungwa na mshambuliaji wake tegemeo, Mkongo Fiston Kalala Mayele dakika ya 54 kwa kichwa akimalizia krosi maridadi ya kiungo mzawa, Farid Mussa Malik kutoka kulia. Matokeo ya mechi nyingine ya 32 Bora ASFC , Ruvu Shooting imeitoa KMC kwa penalti 6-5 baada ya sare ya 1-1 Uwanja wa Azam Complex, Chamazi nje kidogo ya Jiji l Dar es Salaam. KMC ilianza vizuri kwa kutangulia na bao la Iddi Kipagwile, kabla ya Abrahaman Mussa kuisawazishia Ruvu Shooting na kwenye mikwaju ya penalti kipa Benedict Tinocco alipngua shuti la Kenny Ally. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
KOMBE LA SHIRIKISHO LA AZAM SPORTS.
Top
Bottom