Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
KOMBE LA SHIRIKISHO LA AZAM SPORTS.
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

SIMBA SC YAFUTA GUNDU KWA DAR CITY, YAICHAPA 6-0.

MABINGWA watetezi, Simba SC wamefanikiwa kwenda Hatua ya 16 Bora Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) baada ya ushindi wa 6-0 dhidi ya Dar City usiku huu Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.

Mabao ya Simba SC leo yamefungwa na wageni watupu, mshambuliaji Mnyarwanda mzaliwa wa Uganda, Meddie Kagere mawili dakika ya tano na 13, viungo Wazambia, Clatous Chama dakika ya 18 na Rally Bwalya dakika ya 22, beki Muivory Coast, Pascal Wawa dakika ya 48 na mshambuliaji Mkongo, Chris Kope Mugalu dakika ya 80.

Mechi nyingine za 32 Bora leo, Mtibwa Sugar imewatoa wenyeji, African Sports kwa penalti 4-2 baada y sare ya 0-0 Uwanja wa Mkwakwani Jijini Tanga na Kagera Sugar imewachapa wenyeji, African Lyon 4-0, Meshack Abraham akipiga hat trick, lingine akifunga Abeid Athumani.

[QUOTE="Amir, post: 635, member: 20"] [HEADING=2]SIMBA SC YAFUTA GUNDU KWA DAR CITY, YAICHAPA 6-0.[/HEADING] [IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEhP8OWpjFIl2N5ATJAAQVg-0mTOEvzkFWqJaUGJIAXW3s0ldLBp8QCgRstT_GIlWhlrXWGV3tcsWmHwXXk_ovpilZyI6h1LEMqbU7tgxRPfOYsOKGrDpUDwjJT0n3p7LWplgkcdCzJKdbM-CV4kEDsfgxjgy0iPP-p4saPgfifx-8fKwDQycOKOvgjh=w640-h426[/IMG] MABINGWA watetezi, Simba SC wamefanikiwa kwenda Hatua ya 16 Bora Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) baada ya ushindi wa 6-0 dhidi ya Dar City usiku huu Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam. Mabao ya Simba SC leo yamefungwa na wageni watupu, mshambuliaji Mnyarwanda mzaliwa wa Uganda, Meddie Kagere mawili dakika ya tano na 13, viungo Wazambia, Clatous Chama dakika ya 18 na Rally Bwalya dakika ya 22, beki Muivory Coast, Pascal Wawa dakika ya 48 na mshambuliaji Mkongo, Chris Kope Mugalu dakika ya 80. Mechi nyingine za 32 Bora leo, Mtibwa Sugar imewatoa wenyeji, African Sports kwa penalti 4-2 baada y sare ya 0-0 Uwanja wa Mkwakwani Jijini Tanga na Kagera Sugar imewachapa wenyeji, African Lyon 4-0, Meshack Abraham akipiga hat trick, lingine akifunga Abeid Athumani. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
KOMBE LA SHIRIKISHO LA AZAM SPORTS.
Top
Bottom