Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
KOMBE LA SHIRIKISHO LA AZAM SPORTS.
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Pancha ya gari yamtibulia Hitimana.

KOCHA Mkuu wa KMC, Thierry Hitimana amesema kuwa sababu kubwa ya kutolewa kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) ni uchovu kwa wachezaji wake.

Kauli hiyo kwa Hitimana inakuja baada ya kuondoshwa kwenye hatua ya 32-Bora dhidi ya Ruvu Shooting kwa mikwaju ya penalti 6-5 katika mchezo uliomalizika kwa sare ya bao 1-1 katika Uwanja wa Azam Complex Chamazi.

“Gari yetu ilipata pancha wakati tunaenda uwanjani na ilitubidi kukaa kwa zaidi ya saa mawili kusubiri matengenezo, hali ambayo ilisababisha wachezaji wangu kupata uchovu na kukosa fitness,” alisema Hitimana na kuongeza;

“Tuliona kama mchezo tuliumaliza kipindi cha kwanza hasa baada ya kuwa tunaongoza na wapinzani wetu walibadilika kipindi cha pili na kusawazisha bao lililowapa hali ya kujiamini na kututoa mchezoni.”

Naye Mshambuliaji wa kikosi hicho, Matheo Anthony alisema: “Bingwa anapata nafasi ya kuwakilisha nchi kwenye michuano ya Shirikisho Afrika hivyo utaona ni kwa jinsi gani ina umuhimu, mpira unapofikia katika hatua ya penalti kinachoamua huwa ni suala la bahati tu.”

[QUOTE="Amir, post: 687, member: 20"] [HEADING=1]Pancha ya gari yamtibulia Hitimana.[/HEADING] [IMG alt="pancha pic"]https://www.mwanaspoti.co.tz/resource/blob/3702808/4130d031211eed9a1abbe9b0d1eb94d8/pancha-pic-data.jpg[/IMG] KOCHA Mkuu wa KMC, Thierry Hitimana amesema kuwa sababu kubwa ya kutolewa kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) ni uchovu kwa wachezaji wake. Kauli hiyo kwa Hitimana inakuja baada ya kuondoshwa kwenye hatua ya 32-Bora dhidi ya Ruvu Shooting kwa mikwaju ya penalti 6-5 katika mchezo uliomalizika kwa sare ya bao 1-1 katika Uwanja wa Azam Complex Chamazi. “Gari yetu ilipata pancha wakati tunaenda uwanjani na ilitubidi kukaa kwa zaidi ya saa mawili kusubiri matengenezo, hali ambayo ilisababisha wachezaji wangu kupata uchovu na kukosa fitness,” alisema Hitimana na kuongeza; “Tuliona kama mchezo tuliumaliza kipindi cha kwanza hasa baada ya kuwa tunaongoza na wapinzani wetu walibadilika kipindi cha pili na kusawazisha bao lililowapa hali ya kujiamini na kututoa mchezoni.” Naye Mshambuliaji wa kikosi hicho, Matheo Anthony alisema: “Bingwa anapata nafasi ya kuwakilisha nchi kwenye michuano ya Shirikisho Afrika hivyo utaona ni kwa jinsi gani ina umuhimu, mpira unapofikia katika hatua ya penalti kinachoamua huwa ni suala la bahati tu.” [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
KOMBE LA SHIRIKISHO LA AZAM SPORTS.
Top
Bottom