Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
KOMBE LA SHIRIKISHO LA AZAM SPORTS.
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

MECHI ZA 16 BORA ASFC KUCHEZWA KATIKATI YA MWEZI ZOTE.

RATIBA ya Hatua ya 16 Bora Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imetoka na mechi zote za michuano hiyo maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) zitachezwa katikati ya mwezi huu.

Azam FC na Baga Friends watacheza Februari 12 Uwanja wa Azam Complex, Chamazi nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam, Yanga SC na Biashara United Februari 15 Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam na mabingwa watetezi, Simba SC watakuwa wageni wa Ruvu Shooting Februari 16 Uwanja wa Mkapa pia.

[QUOTE="Amir, post: 695, member: 20"] [HEADING=2]MECHI ZA 16 BORA ASFC KUCHEZWA KATIKATI YA MWEZI ZOTE.[/HEADING] RATIBA ya Hatua ya 16 Bora Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imetoka na mechi zote za michuano hiyo maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) zitachezwa katikati ya mwezi huu. Azam FC na Baga Friends watacheza Februari 12 Uwanja wa Azam Complex, Chamazi nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam, Yanga SC na Biashara United Februari 15 Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam na mabingwa watetezi, Simba SC watakuwa wageni wa Ruvu Shooting Februari 16 Uwanja wa Mkapa pia. [IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEiStiObLCpcqgvYPa2sgFxOqK_bxtuATQ_Wlb7WVsCRFPM07JOUGAEgDTmiq50yajUjJnhFJssMBt0ukYe3JVONkeFFdYhTHTCQ-6Lkj0LlTSlNyYQru-r9D_Jw6Hnw5QtCFwALwDC-oPwaosfNNzinnFxDQWG95uYZSNqHD4gp6m4PZbBj3m1B0uzq=w640-h640[/IMG] [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
KOMBE LA SHIRIKISHO LA AZAM SPORTS.
Top
Bottom