Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
KOMBE LA SHIRIKISHO LA AZAM SPORTS.
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Biashara United yawaandalia sapraizi Yanga.

TIMU ya Biashara United imeanza rasmi mazoezi katika uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam kwa ajili ya mchezo wa Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) dhidi ya Yanga unaotarajiwa kupigwa Februari 15.

Timu hizo zinakutana kwenye hatua ya 16, bora mchezo utakaopigwa katika Uwanja wa Benjamin Mkapa.

Timu ya Mwanaspoti leo ilikuwa uwanjani kushuhudia timu hiyo inayonolewa na Bahati Vivier wakifanya zaidi mazoezi ya mbinu.

Vivier aliwataka wachezaji wake wacheze mpira wa chini na utulivu huku zoezi hilo likionekana kueleweka.

Wachezaji hao walikuwa wanacheza bila kuwa na goli la kufunga hali ambayo iliwafanya muda wote kuufuata mpira.

Yanga ilifuzu hatua hiyo baada ya kuiondosha Mbao FC kwa bao 1-0 kwenye hatua ya 32, huku Biashara United ikitinga hatua hii kufuatia kuiondosha Mbeya Kwanza mabao 2-1.

Hii ni mara ya pili kwa timu hizo kukutana msimu huu baada ya awali kukutana kwenye Ligi Kuu Bara Decemba 26, 2021 ambapo Yanga iliibuka na ushindi wa mabao 2-1.

[QUOTE="Amir, post: 833, member: 20"] [HEADING=1]Biashara United yawaandalia sapraizi Yanga.[/HEADING] [IMG alt="Biashara PIC"]https://www.mwanaspoti.co.tz/resource/image/3711114/landscape_ratio16x9/1160/652/768ae51d014680acb3edb45070cf8a22/wG/biashara-pic.jpg[/IMG] TIMU ya Biashara United imeanza rasmi mazoezi katika uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam kwa ajili ya mchezo wa Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) dhidi ya Yanga unaotarajiwa kupigwa Februari 15. Timu hizo zinakutana kwenye hatua ya 16, bora mchezo utakaopigwa katika Uwanja wa Benjamin Mkapa. Timu ya Mwanaspoti leo ilikuwa uwanjani kushuhudia timu hiyo inayonolewa na Bahati Vivier wakifanya zaidi mazoezi ya mbinu. Vivier aliwataka wachezaji wake wacheze mpira wa chini na utulivu huku zoezi hilo likionekana kueleweka. Wachezaji hao walikuwa wanacheza bila kuwa na goli la kufunga hali ambayo iliwafanya muda wote kuufuata mpira. Yanga ilifuzu hatua hiyo baada ya kuiondosha Mbao FC kwa bao 1-0 kwenye hatua ya 32, huku Biashara United ikitinga hatua hii kufuatia kuiondosha Mbeya Kwanza mabao 2-1. Hii ni mara ya pili kwa timu hizo kukutana msimu huu baada ya awali kukutana kwenye Ligi Kuu Bara Decemba 26, 2021 ambapo Yanga iliibuka na ushindi wa mabao 2-1. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
KOMBE LA SHIRIKISHO LA AZAM SPORTS.
Top
Bottom