Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
KOMBE LA SHIRIKISHO LA AZAM SPORTS.
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

COASTAL NA KAGERA ZATINGA ROBO FAINALI ASFC.

TIMU za Coastal Union na Kagera Sugar zimefanikiwa kuingia Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) baada ya ushindi dhidi ya wageni, Mtibwa Sugar na Namungo jioni ya leo.

Uwanja wa Mkwakwani Jijini Tanga mabao ya Coastal Union dhidi ya Mtibwa yamefungwa na Haji Ugando dakika ya 10 na Abdul Suleiman ‘Sopu’ dakika ya 90 na ushei na Uwanja wa Kaitaba, Bukoba mkoani Kagera bao pekee la Kagera limefungwa na Hassan Mwaterema dakika ya 60.

Coastal na Kagera zinaungana na Geita Gold iliyoitoa Mbuni FC na Azam FC ilitoitupa nje Baga Friends kutinga Robo Fainali ya michuano hiyo maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC).

[QUOTE="Amir, post: 899, member: 20"] [HEADING=2]COASTAL NA KAGERA ZATINGA ROBO FAINALI ASFC.[/HEADING] [IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEjqxxQH8q2kvP06YsD9b149gb9muU5meUbA1gyCI7oJY5GOhEUKTSN7DGABx1JtVTkyyvAF0LxThYw9HtAtPfsWi0STNyhgZJVGMcyQPBzPBUVOslzTqjcQNqTjswOiiKTGKciK8R56iZ2dNptzol_PPbHL0cIMfep8oGx_3UrWhCWszWwWAFFriNGw=w636-h640[/IMG] TIMU za Coastal Union na Kagera Sugar zimefanikiwa kuingia Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) baada ya ushindi dhidi ya wageni, Mtibwa Sugar na Namungo jioni ya leo. Uwanja wa Mkwakwani Jijini Tanga mabao ya Coastal Union dhidi ya Mtibwa yamefungwa na Haji Ugando dakika ya 10 na Abdul Suleiman ‘Sopu’ dakika ya 90 na ushei na Uwanja wa Kaitaba, Bukoba mkoani Kagera bao pekee la Kagera limefungwa na Hassan Mwaterema dakika ya 60. Coastal na Kagera zinaungana na Geita Gold iliyoitoa Mbuni FC na Azam FC ilitoitupa nje Baga Friends kutinga Robo Fainali ya michuano hiyo maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC). [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
KOMBE LA SHIRIKISHO LA AZAM SPORTS.
Top
Bottom