Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
KOMBE LA SHIRIKISHO LA AZAM SPORTS.
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

YANGA NA POLISI ZATINGA ROBO FAINALI ASFC.

VIGOGO, Yanga SC wamefanikiwa kwenda Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) baada ya ushindi wa 2-1 dhidi ya Biashara United usiku huu Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.

Mabao ya Yanga SC yote leo yamefungwa na nyota wake kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), beki Yannick Litombo Bangala dakika ya 22 na mshambuliaji Fiston Kalala Mayele dakika ya 28, wakati la Biashara United limefungwa na mshambuliaji Mkenya, Collins Opare dakika ya 38.

Katika mchezo uliotangulia, Polisi Tanzania ilifanikiwa pia kwenda Robo Fainali ya ASFC baada ya ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji, Tanzania Prisons mabao ya Said Khamis dakika ya 40 na Daruwesh Saliboko dakika ya 83 Uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya.

Timu nyingine zilizofuzu Robo Fainali ni Azam FC iliyoichapa Baga Friends 6-0, Geita Gold iliyoichapa Mbuni FC 1-0, Coastal Union iliyoichapa Mtibwa Sugar 2-0 na Kagera Sugar iliyoilaza Namungo FC 1-0.

Hatua ya 16 Bora ya ASFC itakamilishwa kesho kwa michezo mingine miwili, Pamba na Dodoma Jijini Mwanza na Ruvu Shooting dhidi ya mabingwa watetezi, Simba SC Jijini Dar es Salaam.

[QUOTE="Amir, post: 926, member: 20"] [HEADING=2]YANGA NA POLISI ZATINGA ROBO FAINALI ASFC.[/HEADING] [IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEjB5tKAtqPdrVFnkMkm7T-y4L1c8XeRNIUEniJMUzoLPn8nR4pjv4eqi0SH1zsVULbkblh9AktvilUzRhf_Mra0csmgWqZ6tKPL0XaPjzXEQZldNsiZGHjP2sBHhxJe5ffzwJPG2kyurZRBPJTbyRaBIRoIaRQQrh6pcu_tuoca30ZT8cWLnwoGXL93=w640-h524[/IMG] VIGOGO, Yanga SC wamefanikiwa kwenda Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) baada ya ushindi wa 2-1 dhidi ya Biashara United usiku huu Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam. Mabao ya Yanga SC yote leo yamefungwa na nyota wake kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), beki Yannick Litombo Bangala dakika ya 22 na mshambuliaji Fiston Kalala Mayele dakika ya 28, wakati la Biashara United limefungwa na mshambuliaji Mkenya, Collins Opare dakika ya 38. Katika mchezo uliotangulia, Polisi Tanzania ilifanikiwa pia kwenda Robo Fainali ya ASFC baada ya ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji, Tanzania Prisons mabao ya Said Khamis dakika ya 40 na Daruwesh Saliboko dakika ya 83 Uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya. Timu nyingine zilizofuzu Robo Fainali ni Azam FC iliyoichapa Baga Friends 6-0, Geita Gold iliyoichapa Mbuni FC 1-0, Coastal Union iliyoichapa Mtibwa Sugar 2-0 na Kagera Sugar iliyoilaza Namungo FC 1-0. Hatua ya 16 Bora ya ASFC itakamilishwa kesho kwa michezo mingine miwili, Pamba na Dodoma Jijini Mwanza na Ruvu Shooting dhidi ya mabingwa watetezi, Simba SC Jijini Dar es Salaam. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
KOMBE LA SHIRIKISHO LA AZAM SPORTS.
Top
Bottom