Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
KOMBE LA SHIRIKISHO LA AZAM SPORTS.
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Bwire: Tunawaondoa Simba FA.

RUVU Shooting kuelekea mchezo wao wa leo Jumatano wa michuano ya Kombe la Shirikisho la Azam Sports (FA) utakaopigwa Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar dhidi ya Simba SC, wamesema kuwa wapo tayari kulishangaza taifa.

Akizungumza na Champion Jumatano, Mkuu wa Idara ya Habari wa Ruvu Shooting, Masau Bwire alisema kuwa, wamefanya maandalizi makubwa kuelekea mchezo huo ili kuhakikisha wanamuondoa bingwa mtetezi wa kombe

hilo, Simba.

“Tumejipanga kuhakikisha tunabadili fikra za watu wengi kwamba timu yoyote itakayo kutana na Simba au Yanga basi haitoweza kupata matokeo, Ruvu ni timu kubwa yenye wachezaji wenye ubora wa hali ya juu hivyo wajiandae kula kipigo kizuri kutoka kwetu.

“Nawaambia Simba waje kucheza mpira, wasithubutu kuja na matokeo yao mfukoni kwa sababu ni kitu ambacho kitakuja kuwaletea madhara makubwa sana baada ya dakika 90 za mchezo.”

[QUOTE="Amir, post: 941, member: 20"] [HEADING=1]Bwire: Tunawaondoa Simba FA.[/HEADING] [IMG]https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2022/02/masau.jpg[/IMG] RUVU Shooting kuelekea mchezo wao wa leo Jumatano wa michuano ya Kombe la Shirikisho la Azam Sports (FA) utakaopigwa Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar dhidi ya Simba SC, wamesema kuwa wapo tayari kulishangaza taifa. Akizungumza na Champion Jumatano, Mkuu wa Idara ya Habari wa Ruvu Shooting, Masau Bwire alisema kuwa, wamefanya maandalizi makubwa kuelekea mchezo huo ili kuhakikisha wanamuondoa bingwa mtetezi wa kombe hilo, Simba. “Tumejipanga kuhakikisha tunabadili fikra za watu wengi kwamba timu yoyote itakayo kutana na Simba au Yanga basi haitoweza kupata matokeo, Ruvu ni timu kubwa yenye wachezaji wenye ubora wa hali ya juu hivyo wajiandae kula kipigo kizuri kutoka kwetu. “Nawaambia Simba waje kucheza mpira, wasithubutu kuja na matokeo yao mfukoni kwa sababu ni kitu ambacho kitakuja kuwaletea madhara makubwa sana baada ya dakika 90 za mchezo.” [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
KOMBE LA SHIRIKISHO LA AZAM SPORTS.
Top
Bottom