Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
KOMBE LA SHIRIKISHO LA AZAM SPORTS.
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

PAMBA YATINGA ROBO FAINALI ASFC.

WENYEJI, Pamba FC imekuwa timu pekee ya daraja la chini ya Ligi Kuu Tanzania Bara kutinga Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) baada ya ushindi wa 2-1 dhidi ya Dodoma Jiji FC jioni ya leo Uwanja wa Nyamagana Jijini Mwanza.

Mabao ya Pamba, mabingwa wa zamani wa Ligi Kuu ya Muungano nchini yamefungwa na Makiada Makoli dakika ya 15 na Masunga Malulu dakika ya 77, wakati la Dodoma Jiji FC limefungwa na Cleophace Mkandala dakika ya 47.

Timu nyingine zilizofuzu Robo Fainali ni Azam FC iliyoichapa Baga Friends 6-0, Geita Gold iliyoichapa Mbuni FC 1-0, Coastal Union iliyoichapa Mtibwa Sugar 2-0, Kagera Sugar iliyoilaza Namungo FC 1-0, Polisi Tanzania iliyoipiga Tanzania Prisons 2-0 na Yanga SC iliyolaza Biashara United 2-1.

[QUOTE="Amir, post: 946, member: 20"] [HEADING=2]PAMBA YATINGA ROBO FAINALI ASFC.[/HEADING] [IMG]https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEjGNnK5mfchkgRSJj0j0fLj7rH4NIT9JVAqZ2MbUyppK6GhkOFhWLqPU0xCNdguizIsoPPfRdabgqaZx9BUsFeCJWzITZuU6LNMzvLpkD6nhmPuBQ6Kpj3h4NmtdKyPHpOYonndkPeNUizxekYy5gNhASjYnwCC92TOgEQRrKQwSHtf2svww6ZpXl3E=w640-h480[/IMG] WENYEJI, Pamba FC imekuwa timu pekee ya daraja la chini ya Ligi Kuu Tanzania Bara kutinga Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) baada ya ushindi wa 2-1 dhidi ya Dodoma Jiji FC jioni ya leo Uwanja wa Nyamagana Jijini Mwanza. Mabao ya Pamba, mabingwa wa zamani wa Ligi Kuu ya Muungano nchini yamefungwa na Makiada Makoli dakika ya 15 na Masunga Malulu dakika ya 77, wakati la Dodoma Jiji FC limefungwa na Cleophace Mkandala dakika ya 47. Timu nyingine zilizofuzu Robo Fainali ni Azam FC iliyoichapa Baga Friends 6-0, Geita Gold iliyoichapa Mbuni FC 1-0, Coastal Union iliyoichapa Mtibwa Sugar 2-0, Kagera Sugar iliyoilaza Namungo FC 1-0, Polisi Tanzania iliyoipiga Tanzania Prisons 2-0 na Yanga SC iliyolaza Biashara United 2-1. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
KOMBE LA SHIRIKISHO LA AZAM SPORTS.
Top
Bottom