KONDE BOY ANATUA AZAM FC

Balyx_

Mgeni
Dec 19, 2022
93
72
5
Kuna kelele nyingi mitandaoni kuhusu Konde boy kurudo Simba na wengine wakisema anaenda Yanga, ila ukweli ni kwamba konde anavaa jersey ya Azam Fc