Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Kuhusu Lameck Lawi Tuwaamini SIMBA au COASTAL UNION?
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Baada ya utambulisho wa Lameck Lawi kama mchezaji mpya wa klabu ya Simba, Uongozi wa Coastal Union kupitia kwa Afisa Habari wake Abbas El Sabri umefunguka kwamba hautambui utambulisho huo na kubainisha kwamba hizo ni taarifa za kufurahisha na kuchekesha za mitandaoni.

“Siku hizi mitandaoni kuna mambo mengi sana wakati mwingine kuna mambo ya kufurahisha kuchekesha kwa hiyo ndio Dunia ya sasa ilivyo.”

“Hizo taarifa hata sisi ndio tunaziona mitandaoni lakini ukweli ni kwamba Lameck Lawi bado ni mali ya Coastal Union na ni mchezaji halali wa Coastal Union.”

“Mimi kama Afisa Habari wa Coastal Union nasema Lameck Lawi hajauzwa timu yoyote, ni Mali ya Coastal Union na bado tuna mipango naye.” — Abbas El Sabri

“Ilipokuja ofa tuliwapa taratibu za kufuatia na namna ya kufanya kama wanamuhitaji sasa sijui ni nini kimewafanya wasifanye vile sisi tunataka kwa hiyo na sisi baada ya kuona pengine hawana nia tena tukakaa na kuamua mengine.” — Abbas El Sabri

[QUOTE="DeviMitupio, post: 5640, member: 2312"] Baada ya utambulisho wa Lameck Lawi kama mchezaji mpya wa klabu ya Simba, Uongozi wa Coastal Union kupitia kwa Afisa Habari wake Abbas El Sabri umefunguka kwamba hautambui utambulisho huo na kubainisha kwamba hizo ni taarifa za kufurahisha na kuchekesha za mitandaoni. “Siku hizi mitandaoni kuna mambo mengi sana wakati mwingine kuna mambo ya kufurahisha kuchekesha kwa hiyo ndio Dunia ya sasa ilivyo.” “Hizo taarifa hata sisi ndio tunaziona mitandaoni lakini ukweli ni kwamba Lameck Lawi bado ni mali ya Coastal Union na ni mchezaji halali wa Coastal Union.” “Mimi kama Afisa Habari wa Coastal Union nasema Lameck Lawi hajauzwa timu yoyote, ni Mali ya Coastal Union na bado tuna mipango naye.” — Abbas El Sabri “Ilipokuja ofa tuliwapa taratibu za kufuatia na namna ya kufanya kama wanamuhitaji sasa sijui ni nini kimewafanya wasifanye vile sisi tunataka kwa hiyo na sisi baada ya kuona pengine hawana nia tena tukakaa na kuamua mengine.” — Abbas El Sabri [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Kuhusu Lameck Lawi Tuwaamini SIMBA au COASTAL UNION?
Top
Bottom