Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Kujiondoa Kwa AZAM TV Kwenye Kuonesha Mchezo Wa NGUMI Una Lipi La Kuzungumza Mwana Kijiweni?
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Watanzania kwa kiasi kikubwa wamekuwa wakiufuatilia sana mchezo wa ngumi baada ya uwekezaji mkubwa uliofanywa na Azam Tv katika miaka ya hivi karibuni baada ya kupotea katika ramani kwa muda mchezo huu lakini LIMEIBUKA jambo ambalo limewashtua wengi na hili ni baada ya maaamuzi ya Azam media kusitisha rasmi kuonesha mchezo huu ni wazi kuwa hili ni pigo kubwa sana kuanzia kwa mabondia wenyewe, walimu wao, mapromota, mashabiki na taifa kwa ujumla. Wewe una lipi la kuzungumza mwana Kijiweni

KUMBUKA KUWA: Mahakama imeamuru Azam Tv kumlipa Mwamakula kiasi cha Shilingi Milioni 200 kutokana na kutumia mashindano ya Vitasa bila ya yeye kunufaika kwa chochote, huku taarifa zikidai kuwa Azam Tv walikata Rufaa ya kesi hiyo na kwasasa Azam Tv ikionyesha kutokuwa na mpango tena wa kuonesha mchezo wa Masumbwi.

[QUOTE="Kijiweni, post: 9913, member: 476"] Watanzania kwa kiasi kikubwa wamekuwa wakiufuatilia sana mchezo wa ngumi baada ya uwekezaji mkubwa uliofanywa na Azam Tv katika miaka ya hivi karibuni baada ya kupotea katika ramani kwa muda mchezo huu lakini LIMEIBUKA jambo ambalo limewashtua wengi na hili ni baada ya maaamuzi ya Azam media kusitisha rasmi kuonesha mchezo huu ni wazi kuwa hili ni pigo kubwa sana kuanzia kwa mabondia wenyewe, walimu wao, mapromota, mashabiki na taifa kwa ujumla. Wewe una lipi la kuzungumza mwana Kijiweni [B]KUMBUKA KUWA[/B]: [I]Mahakama imeamuru Azam Tv kumlipa Mwamakula kiasi cha Shilingi Milioni 200 kutokana na kutumia mashindano ya Vitasa bila ya yeye kunufaika kwa chochote, huku taarifa zikidai kuwa Azam Tv walikata Rufaa ya kesi hiyo na kwasasa Azam Tv ikionyesha kutokuwa na mpango tena wa kuonesha mchezo wa Masumbwi.[/I] [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Kujiondoa Kwa AZAM TV Kwenye Kuonesha Mchezo Wa NGUMI Una Lipi La Kuzungumza Mwana Kijiweni?
Top
Bottom