Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Kumbe basi la Simba limeuzwa
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

MWENYEKITI wa Klabu ya Simba ambaye anamaliza muda wake na anaomba kura za kuendele kugombea nafasi hiyo kwenye uchaguzi unaotarajia kufanyika Januari 29, Murtaza Mangungu amekiri kuwa basi la timu hiyo limeuzwa na sio bovu kana inavyoelezwa.

Simba ambayo ni muda sasa basi lao limekuwa halionekani huku wakitumia basi dogo ‘Coaster’ na taarifa ya awali ikithibitisha kuwa basi ni bovu sasa imethibitika kwa limeuzwa.

“Nashushiwa lawama ambazo sio zangu basi la Simba limeuzwa mimi nikiwa sipo kwenye uongozi sikuwa Mjumbe wa Bodi wala Mwenyekiti wa timu hii kama nilivyo sasa,” alisema na kuongeza;

“Lakini baada ya kuingia kwenye uongozi hili suala lilipelekwa kwenye Bodi ya klabu na wajumbe tumelifuatilia na kubaini kuwa limeuzwa kwa kufuata utaratibu,”

[ATTACH=full]1062[/ATTACH]

[QUOTE="Kriss, post: 3020, member: 467"] MWENYEKITI wa Klabu ya Simba ambaye anamaliza muda wake na anaomba kura za kuendele kugombea nafasi hiyo kwenye uchaguzi unaotarajia kufanyika Januari 29, Murtaza Mangungu amekiri kuwa basi la timu hiyo limeuzwa na sio bovu kana inavyoelezwa. Simba ambayo ni muda sasa basi lao limekuwa halionekani huku wakitumia basi dogo ‘Coaster’ na taarifa ya awali ikithibitisha kuwa basi ni bovu sasa imethibitika kwa limeuzwa. “Nashushiwa lawama ambazo sio zangu basi la Simba limeuzwa mimi nikiwa sipo kwenye uongozi sikuwa Mjumbe wa Bodi wala Mwenyekiti wa timu hii kama nilivyo sasa,” alisema na kuongeza; “Lakini baada ya kuingia kwenye uongozi hili suala lilipelekwa kwenye Bodi ya klabu na wajumbe tumelifuatilia na kubaini kuwa limeuzwa kwa kufuata utaratibu,” [ATTACH type="full"]1062[/ATTACH] [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Kumbe basi la Simba limeuzwa
Top
Bottom