Kumbe Vipimo vya Covid-19 bado vinachukuliwa kwa wachezaji!

Feb 7, 2023
61
36
5
Kuelekea mchezo wa kesho kati ya Simba na Horoya Ac huko Guinea, wachezaji wa Simba wameonekana wakichukuliwa vipimo vya Uviko 19.

Vipimo hivyo vimechukuliwa jioni ya leo na majibu yake yanatarajiwa kutoka hapo usiku kidogo.

Hivi ni kwa mataifa yote bado wanazingatia hivi vipimo au ni kwa baadhi ya mataifa tu?
20230210_192537.jpg