Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Kuna wachambuzi hapa bongo huwa siwaelewi linapokuja suala la mpira, je! Ni mimi tu!
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Hapo nyuma kulikua na mechi za ku Qualify kombe la dunia, na mashindano mengine, na nadhani wengi wenu mliangalia mechi hizo, ila baada ya mechi kuisha sijaona timu kubwa kama Morocco n.k tukiwekewa matokeo, na hii sio mara ya kwanza kwa timu za kiarabu kutowekewa matokeo pale tu wanaposhinda, ila wakifungwa utaona wachambuzi hawa wakiwahi kupost, hivyo sijajua shida ni nini, chuki ama ubaguzi kwa hawa wenzetu!

Mtu anaacha kupost matokeo ya mechi muhimu za ku Qualify kombe la dunia tena ya Morocco aliekiwasha, na akazisumbua timu kubwa kama Portugal na ufaransa w/cup 2022, na kutuwakilisha wa afrika  halafu anakuja kutuwekea matokeo ya friendly matches za akina Portugal, Finland, Iceland, Luxembourg n.k  aisee!

Hivi huwa mnawaelewa wachambuzi hawa? Hata kama utawachukia na kutotuwekea matokeo ya timu zao ilaa wachambuzi wakubwa na waliobobea wanatambua ubora wao hawa jamaa, so, wamebarikiwa kwanzia timu za taifa hadi vilabu wako vizuri,especially Morocco, egypt, Raja na Al Ahly. Mimi ni mmoja wa mafans wa Morocco

So, Napinga sana ubaguzi, Mungu aniepushie mbali ubaguzi, wivu na chuki.

[QUOTE="Bakari, post: 5391, member: 2316"] Hapo nyuma kulikua na mechi za ku Qualify kombe la dunia, na mashindano mengine, na nadhani wengi wenu mliangalia mechi hizo, ila baada ya mechi kuisha sijaona timu kubwa kama Morocco n.k tukiwekewa matokeo, na hii sio mara ya kwanza kwa timu za kiarabu kutowekewa matokeo pale tu wanaposhinda, ila wakifungwa utaona wachambuzi hawa wakiwahi kupost, hivyo sijajua shida ni nini, chuki ama ubaguzi kwa hawa wenzetu! Mtu anaacha kupost matokeo ya mechi muhimu za ku Qualify kombe la dunia tena ya Morocco aliekiwasha, na akazisumbua timu kubwa kama Portugal na ufaransa w/cup 2022, na kutuwakilisha wa afrika 😄 halafu anakuja kutuwekea matokeo ya friendly matches za akina Portugal, Finland, Iceland, Luxembourg n.k 😃 aisee! Hivi huwa mnawaelewa wachambuzi hawa? Hata kama utawachukia na kutotuwekea matokeo ya timu zao ilaa wachambuzi wakubwa na waliobobea wanatambua ubora wao hawa jamaa, so, wamebarikiwa kwanzia timu za taifa hadi vilabu wako vizuri,especially Morocco, egypt, Raja na Al Ahly. Mimi ni mmoja wa mafans wa Morocco 🇲🇦 So, Napinga sana ubaguzi, Mungu aniepushie mbali ubaguzi, wivu na chuki. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Kuna wachambuzi hapa bongo huwa siwaelewi linapokuja suala la mpira, je! Ni mimi tu!
Top
Bottom