Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Kuteleza sio kuanguka, Simba bado wana nafasi ya kufanya vizuri
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Matokeo ya jana waliyopata Simba ugenini sio mazuri, hivyo wanahitaji kuyasahau haraka iwezekanavyo kuelekea mchezo wao unaofuata dhidi ya Raja Casablanca.

Jana Simba hawakucheza vizuri sana, ingawa walitengeneza baadhi ya nafasi lakini wakashindwa kuzitumia kupata magoli.

Bocco jana hakuwa kwenye kiwango bora kabisa alipoteza nafasi ambazo zingeisaidia Simba kuondoka na alama moja au tatu, lakini anatakiwa asahau hilo haraka kabisa iwe kama sehemu ya mchezo.

Mara zote soka la Afrika, mwenyeji anakuwa na nafasi kubwa ya kuondoka na ushindi bila kujali anacheza na mpinzani mwenye kiwango gani, kwahiyo kilochotokea kwa Simba jana ni sehemu ya kasumba ya soka la Afrika.

Kocha Robetinho jana alianza na 4-3-3, chaguo ambalo lilifanya timu isicheze vizuri Chama kutokea pembeni kuna ubora unaukosa kutoka kwake.

So far, Raja Casablanca watakuwa na kesi ya kujibu kwa Mkapa ukizingatia kwa Mkapa ni uwanja ambao Simba amekuwa na historia nzuri. [ATTACH=full]1202[/ATTACH]

[QUOTE="Sports journalist, post: 3263, member: 622"] Matokeo ya jana waliyopata Simba ugenini sio mazuri, hivyo wanahitaji kuyasahau haraka iwezekanavyo kuelekea mchezo wao unaofuata dhidi ya Raja Casablanca. Jana Simba hawakucheza vizuri sana, ingawa walitengeneza baadhi ya nafasi lakini wakashindwa kuzitumia kupata magoli. Bocco jana hakuwa kwenye kiwango bora kabisa alipoteza nafasi ambazo zingeisaidia Simba kuondoka na alama moja au tatu, lakini anatakiwa asahau hilo haraka kabisa iwe kama sehemu ya mchezo. Mara zote soka la Afrika, mwenyeji anakuwa na nafasi kubwa ya kuondoka na ushindi bila kujali anacheza na mpinzani mwenye kiwango gani, kwahiyo kilochotokea kwa Simba jana ni sehemu ya kasumba ya soka la Afrika. Kocha Robetinho jana alianza na 4-3-3, chaguo ambalo lilifanya timu isicheze vizuri Chama kutokea pembeni kuna ubora unaukosa kutoka kwake. So far, Raja Casablanca watakuwa na kesi ya kujibu kwa Mkapa ukizingatia kwa Mkapa ni uwanja ambao Simba amekuwa na historia nzuri. [ATTACH type="full" alt="20230212_111815.jpg"]1202[/ATTACH] [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Kuteleza sio kuanguka, Simba bado wana nafasi ya kufanya vizuri
Top
Bottom