Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Kuzuiwa na polisi kwa mkutano wa wanachama wa Simba, ni mpango wa Yanga na sio Mangungu
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Kuna namna wanahitaji kuendelea kutawala soka la Tanzania kwa msimu mwingine na hivyo wanafurahia sintofahamu hii hasa kipindi hiki cha usajili.

Tunawafahamu polisi mashabiki wa yanga lakini pia tunafahamu jinsi wanasiasa walio madarakani wanavyojaribu kuitumia Simba kutimiza ndoto za marafiki zao kisiasa.

Ukweli polisi hawakuwa na sababu ya kuzuia mkutano wa wanachama wa Simba kwani hiyo ndiyo ilikuwa njia ya kujaribu kutatua changamoto zilizopo kuliko kuwaachia viongozi ambao ndio tatizo haswa.

Unakuwa na mwenyekiti mjeuri na mwenye majibu ya kashfa kwa waliompigia kura, unakuwa na wajumbe wa bodi wapuuzi wanasema wanataka kuuweka vizuri mfumo huku kwa miaka mitatu walikuwemo kwenye mfumo wakitumikia bila kufanya chochote huku wakijua kuna tatizo.

Siafiki kabisa kusema eti Mangungo hakuwa na nguvu ya maamuzi kwa hiyo eti anaonewa. Kusema kweli huko ndio kunahalalisha kutokufaa kwake kwa kuwa kama aliona kuna tatizo kwa nini hakuliweka wazi na badala yake alianzisha majungu na wachambuzi fulani fulani ambao kusema kweli huenda ndio wanafaidika sana na migogoro ya Simba.

Ukiona mchezaji kama Jobe amepewa mkataba mrefu ukijiuliza alivyopatikana unaweza kukuta kuna watu wajinga kama akina dauda wanahusika.

Natoa rai kwa hawa viongozi wa polisi wanaotumika, wasiingilie mambo ya kiraia kwa nia ya kuipendelea club wanayoishabikia

[QUOTE="JeniWaTandika, post: 5444, member: 2310"] Kuna namna wanahitaji kuendelea kutawala soka la Tanzania kwa msimu mwingine na hivyo wanafurahia sintofahamu hii hasa kipindi hiki cha usajili. Tunawafahamu polisi mashabiki wa yanga lakini pia tunafahamu jinsi wanasiasa walio madarakani wanavyojaribu kuitumia Simba kutimiza ndoto za marafiki zao kisiasa. Ukweli polisi hawakuwa na sababu ya kuzuia mkutano wa wanachama wa Simba kwani hiyo ndiyo ilikuwa njia ya kujaribu kutatua changamoto zilizopo kuliko kuwaachia viongozi ambao ndio tatizo haswa. Unakuwa na mwenyekiti mjeuri na mwenye majibu ya kashfa kwa waliompigia kura, unakuwa na wajumbe wa bodi wapuuzi wanasema wanataka kuuweka vizuri mfumo huku kwa miaka mitatu walikuwemo kwenye mfumo wakitumikia bila kufanya chochote huku wakijua kuna tatizo. Siafiki kabisa kusema eti Mangungo hakuwa na nguvu ya maamuzi kwa hiyo eti anaonewa. Kusema kweli huko ndio kunahalalisha kutokufaa kwake kwa kuwa kama aliona kuna tatizo kwa nini hakuliweka wazi na badala yake alianzisha majungu na wachambuzi fulani fulani ambao kusema kweli huenda ndio wanafaidika sana na migogoro ya Simba. Ukiona mchezaji kama Jobe amepewa mkataba mrefu ukijiuliza alivyopatikana unaweza kukuta kuna watu wajinga kama akina dauda wanahusika. Natoa rai kwa hawa viongozi wa polisi wanaotumika, wasiingilie mambo ya kiraia kwa nia ya kuipendelea club wanayoishabikia [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Kuzuiwa na polisi kwa mkutano wa wanachama wa Simba, ni mpango wa Yanga na sio Mangungu
Top
Bottom