Kwa hili la Messi kuchukua ubingwa nimefurahi kitu kimoja, kuzikwa rasmi kwa utawala wa Maradon

Brenda

Mgeni
Oct 31, 2022
489
403
5
Dar es salaam
Kwa hili la Messi kuchukua ubingwa nimefurahi kitu kimoja, kuzikwa rasmi kwa utawala wa Maradona, kwangu Mimi Maradona was Over and overrated dhidi ya Messi na soka jumla, Maradona matukio yake yote makubwa yanaonekana within only three matches,wewe yataje utaona hilo.Wakawa wanamuweka Mbele ya Messi kwa kushindwa kutwaa tu kombe la dunia.Kwa sasa zikiwekwa takwimu Maradona atakuwa kama kikombe cha Kahawa na Messi ni Pipa
 
  • Like
Reactions: Zaka and Lukac

Lukac

Mgeni
Nov 4, 2022
120
83
5
Kwa hili la Messi kuchukua ubingwa nimefurahi kitu kimoja, kuzikwa rasmi kwa utawala wa Maradona, kwangu Mimi Maradona was Over and overrated dhidi ya Messi na soka jumla, Maradona matukio yake yote makubwa yanaonekana within only three matches,wewe yataje utaona hilo.Wakawa wanamuweka Mbele ya Messi kwa kushindwa kutwaa tu kombe la dunia.Kwa sasa zikiwekwa takwimu Maradona atakuwa kama kikombe cha Kahawa na Messi ni Pipa
Kwa huko kwao Argentina.
But we know only one all time King Pele

Edson Arantes do Nascimento
 
  • Like
Reactions: Zaka