Kwa kikosi hiki Nabi hataki kuonekana Mnyonge

Feb 7, 2023
61
36
5
Kikosi cha Yanga kuelekea mchezo wao unaotarajiwa kuanza muda mchache kutoka sasa tayari kipo hadharani.

Nabi ameenda kama kawaida na 4-2-3-1, mfumo ambao unampa faida ya kuwa na viungo wengi katikati pia ni mfumo ambao timu inashambulia zaidi.

Nabi anaamini timu yake ina ubora mkubwa wa kupishana na wapinzani wake, hivyo hana cha kupoteza.

Note: Nidhamu ya ulinzi inahitajika sana kwa Yanga kwenye mchezo wao wasijisahau kushambulia sana wakaacha nafasi kubwa kwenye safu ya ulinzi. 20230212_184351.jpg