Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Kwa Matokeo ya Man United, bado unawaona kwenye mbio za Ubingwa?
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Manchester United usiku wa kuamkia leo waliwakaribisha Leeds United kwenye dimba lao la Old Trafford, mchezo wa ligi kuu Uingereza.

Katika mchezo huo hakuna aliyeamini kama Manchester United watatoka sare ya mabao 2-2 dhidi ya Leeds kwa jinsi mashetani hao wekundu walivyokuwa kwenye kiwango bora.

Lakini Leeds hawakujali hilo waliingia kwenye mchezo huo kwa kasi kubwa na wakafanikiwa kutawala sehemu kubwa ya mchezo kipindi cha kwanza na kufanikiwa kuongoza kwa mabao mawili.

Kipindi cha pili Man United wakafanikiwa kusawazisha na kufanya mechi kumaliza kwa sare.

Kwa matokeo hayo sasa,United wanafikisha alama 43 katika michezo 22 wakiwa nyuma ya City wenye alama 45 na michezo 21 wakati Arsenal akiwa kinara kwa alama 50 katika michezo 20 aliyocheza mpaka sasa.

Je,kwa msimamo huo bado unaiona nafasi ya Man United kuwania ubingwa wa ligi kuu ambao mara ya miwsho kushinda ni miaka 10 nyuma?.[ATTACH=full]1182[/ATTACH]

[QUOTE="Sports journalist, post: 3240, member: 622"] Manchester United usiku wa kuamkia leo waliwakaribisha Leeds United kwenye dimba lao la Old Trafford, mchezo wa ligi kuu Uingereza. Katika mchezo huo hakuna aliyeamini kama Manchester United watatoka sare ya mabao 2-2 dhidi ya Leeds kwa jinsi mashetani hao wekundu walivyokuwa kwenye kiwango bora. Lakini Leeds hawakujali hilo waliingia kwenye mchezo huo kwa kasi kubwa na wakafanikiwa kutawala sehemu kubwa ya mchezo kipindi cha kwanza na kufanikiwa kuongoza kwa mabao mawili. Kipindi cha pili Man United wakafanikiwa kusawazisha na kufanya mechi kumaliza kwa sare. Kwa matokeo hayo sasa,United wanafikisha alama 43 katika michezo 22 wakiwa nyuma ya City wenye alama 45 na michezo 21 wakati Arsenal akiwa kinara kwa alama 50 katika michezo 20 aliyocheza mpaka sasa. Je,kwa msimamo huo bado unaiona nafasi ya Man United kuwania ubingwa wa ligi kuu ambao mara ya miwsho kushinda ni miaka 10 nyuma?.[ATTACH type="full"]1182[/ATTACH] [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Kwa Matokeo ya Man United, bado unawaona kwenye mbio za Ubingwa?
Top
Bottom