Kwa Ratiba Hii Ya EPL 2024/2025 Bingwa Nani?

Stuart 04

Mgeni
May 3, 2024
17
4
5
Manchester City anachukua Tena Kama timu ndogo hazitakuja kutu surprise maana anaanza na timu ngumu Ila mechi zake 10 za mwisho Ni dhidi ya timu ndogo mechi zisizo na presha tukiwatoa MAN UTD, CRYSTAL PALACE na ASTON VILLA wanabaki wakina Southampton, Ipswich, Fulham, Brentford, wolves etc na zipo hivyo kwa mzunguuko wa kwanza na wapili so apewe kabisaa