Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Kwa sasa ni Muhimu Fei toto kucheza kwa afya ya soka lake na taifa kwa ujumla
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Ni takribani miezi mitatu sasa tangu kiungo Feisal Salum kuandika barua ya kuvunja mkataba dhidi ya muajiri wake Yanga,kwa kile kinachodaiwa ni maslahi madogo anayopata.

Feisal alifanya hivyo kwa kuona kile anachofanya uwanjani na anachopata ni vitu viwili tofauti,hivyo aliamua kuvunja mkataba kwa mihemko bila kufuata kanuni na taratibu za kufanya hivyo.

Kwa alichokifanya Fei toto au aliyemshauri Fei kufanya hivyo naamini wanajutia kwa sasa juu ya walichokifanya,na maamuzi yashatolewa na TFF kuwa Feisal Salum bado mchezaji halali wa Yanga.

Kwa mantiki hiyo Fei anatakiwa kurejea ndani ya timu hiyo,lakini kwa hali ilivyo Feisal na familia yake wamegoma kurejea ndani ya klabu hiyo.

Feisal Salum ana hatarisha kiwango chake kwa kutocheza kwa muda mrefu sasa,lakini pia Taifa linaweza kukosa hazina ya kiwango chake.

Kitu pekee kinachotakiwa kufanyika kwa sasa ni Feisal na Yanga wamalizane kwa kufuata taratibu zilivyo,kama wanataka kuvunja mkataba wao ambao unamalizika mwaka 2024 basi litakuwa jambo jema au kama kuna timu inamuhitaji Feisal basi wanatakiwa kukaa chini na Yanga ili wamalizane vizuri.

Hii italeta afya kwenye Maendeleo ya Feisal na soka letu kwa ujumla,mpaka sasa Feisal anaonekana ameshindwa kwenye hii kesi. [ATTACH=full]1339[/ATTACH]

[QUOTE="Sports journalist, post: 3505, member: 622"] Ni takribani miezi mitatu sasa tangu kiungo Feisal Salum kuandika barua ya kuvunja mkataba dhidi ya muajiri wake Yanga,kwa kile kinachodaiwa ni maslahi madogo anayopata. Feisal alifanya hivyo kwa kuona kile anachofanya uwanjani na anachopata ni vitu viwili tofauti,hivyo aliamua kuvunja mkataba kwa mihemko bila kufuata kanuni na taratibu za kufanya hivyo. Kwa alichokifanya Fei toto au aliyemshauri Fei kufanya hivyo naamini wanajutia kwa sasa juu ya walichokifanya,na maamuzi yashatolewa na TFF kuwa Feisal Salum bado mchezaji halali wa Yanga. Kwa mantiki hiyo Fei anatakiwa kurejea ndani ya timu hiyo,lakini kwa hali ilivyo Feisal na familia yake wamegoma kurejea ndani ya klabu hiyo. Feisal Salum ana hatarisha kiwango chake kwa kutocheza kwa muda mrefu sasa,lakini pia Taifa linaweza kukosa hazina ya kiwango chake. Kitu pekee kinachotakiwa kufanyika kwa sasa ni Feisal na Yanga wamalizane kwa kufuata taratibu zilivyo,kama wanataka kuvunja mkataba wao ambao unamalizika mwaka 2024 basi litakuwa jambo jema au kama kuna timu inamuhitaji Feisal basi wanatakiwa kukaa chini na Yanga ili wamalizane vizuri. Hii italeta afya kwenye Maendeleo ya Feisal na soka letu kwa ujumla,mpaka sasa Feisal anaonekana ameshindwa kwenye hii kesi. [ATTACH type="full"]1339[/ATTACH] [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Kwa sasa ni Muhimu Fei toto kucheza kwa afya ya soka lake na taifa kwa ujumla
Top
Bottom