Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Kwa sasa ukiitoa Al Ahly.. Hakuna timu ambayo wachezaji wanaishi kishua kama Young Africans
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Kwa sasa ukiitoa Al Ahly.. Hakuna timu ambayo wachezaji wanaishi kishua kama Young Africans..

Narudia tena.. Hakuna timu inayo ishi kishua kama Young Africans.

Haya yote hayajaja kwa bahati mbaya, ni mipango na mikakati ya kisomi.

Ibrahim Ajibu..

Gadiel Michael..

Papy Tshishimbi

CHIRWA..

Donald Dombo Ngoma..

Hawa ni wachezaji walio shikiza kugoma kucheza kisa ukata, wengine Waliondoka kwa dharau na kukimbia Young Africans na mashabiki zake nyimbo za vijembe kama Mwajuma Dole Tupu.

Kuna wengine wakasingizia wagonjwa, ila baada kuhamia Azam FC wakapona.

Mchizi boti mmoja akaamini jembe halimtupi mkulima, akaacha kupambania nembo ya Club akaenda kulima matikiti huko NDOLA Zambia.. Yote haya sababu ya ukata.

Taasisi za Kiserikali zilikuwepo na hakuna walicho saidia.. Halafu leo linakuja dili la pesa anatokea mlevi wa DOUBLE KIKI anataka Young Africans itangaze utalii wa ndani bure.. Hii ni sawa na kubeba nyoka kwenye tenga.

Pesa ambayo SportPesa angetoa ni shilingi milioni 100 au 200.. Ni pesa ambayo haitoshi kukaa kwenye hoteli yenye hadhi ya nyota tano pale Tunisia.. Bado usafiri wa ndege na bus kutoka Hotelin kwenda Uwanjani.. Vyakula nk..

Inatokea kampuni inaipiga taff club.. Ajabu wanaojitokeza wachambuzi wa ukoko wa makande wanatoa lugha mbaya kwa viongozi wa timu ikiwa wao pale walipo wanaishi kwa mlo mmoja kwa siku, wanalala vyumba vya uwani kama baiskeli mbovu.

Nchi ina wehu wengi sana, na hao nd'o wanao jiita wachambuzi na wafuasi wa MFALME ZUMARADI wasio penda maendeleo ya Yanga kwa kuamini kuwa kitendo cha Yanga kuwa na uchumi imara ni dhoruba upande wao wenye timu za kuunga unga..

Kila lakheri TIMU bora.

[ATTACH=full]1165[/ATTACH]

[QUOTE="Kriss, post: 3207, member: 467"] Kwa sasa ukiitoa Al Ahly.. Hakuna timu ambayo wachezaji wanaishi kishua kama Young Africans.. Narudia tena.. Hakuna timu inayo ishi kishua kama Young Africans. Haya yote hayajaja kwa bahati mbaya, ni mipango na mikakati ya kisomi. Ibrahim Ajibu.. Gadiel Michael.. Papy Tshishimbi CHIRWA.. Donald Dombo Ngoma.. Hawa ni wachezaji walio shikiza kugoma kucheza kisa ukata, wengine Waliondoka kwa dharau na kukimbia Young Africans na mashabiki zake nyimbo za vijembe kama Mwajuma Dole Tupu. Kuna wengine wakasingizia wagonjwa, ila baada kuhamia Azam FC wakapona. Mchizi boti mmoja akaamini jembe halimtupi mkulima, akaacha kupambania nembo ya Club akaenda kulima matikiti huko NDOLA Zambia.. Yote haya sababu ya ukata. Taasisi za Kiserikali zilikuwepo na hakuna walicho saidia.. Halafu leo linakuja dili la pesa anatokea mlevi wa DOUBLE KIKI anataka Young Africans itangaze utalii wa ndani bure.. Hii ni sawa na kubeba nyoka kwenye tenga. Pesa ambayo SportPesa angetoa ni shilingi milioni 100 au 200.. Ni pesa ambayo haitoshi kukaa kwenye hoteli yenye hadhi ya nyota tano pale Tunisia.. Bado usafiri wa ndege na bus kutoka Hotelin kwenda Uwanjani.. Vyakula nk.. Inatokea kampuni inaipiga taff club.. Ajabu wanaojitokeza wachambuzi wa ukoko wa makande wanatoa lugha mbaya kwa viongozi wa timu ikiwa wao pale walipo wanaishi kwa mlo mmoja kwa siku, wanalala vyumba vya uwani kama baiskeli mbovu. Nchi ina wehu wengi sana, na hao nd'o wanao jiita wachambuzi na wafuasi wa MFALME ZUMARADI wasio penda maendeleo ya Yanga kwa kuamini kuwa kitendo cha Yanga kuwa na uchumi imara ni dhoruba upande wao wenye timu za kuunga unga.. Kila lakheri TIMU bora. [ATTACH type="full"]1165[/ATTACH] [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Kwa sasa ukiitoa Al Ahly.. Hakuna timu ambayo wachezaji wanaishi kishua kama Young Africans
Top
Bottom