Ubora wa Barcelona umekuwa mkubwa sana,wanaongoza ligi kwa tofauti ya alama 11 dhidi ya Madrid, wamefungwa magoli 7 pekee kwenye la liga means wana safu bora ya ulinzi.
Safu ya kiungo inaundwa na vijana wadogo kabisa lakini wanafanya majukumu makubwa Pedri, Gavi, De Jong na Bosquets wamekuwa mhimili wa timu.
Lewandowski namba zake zinaongea zaidi goli 14 kwenye La liga.
Kwaio Manchester United ndo wanaenda kukutana na Barcelona hii,au United gari limewaka nao.
Alafu kuna timu kama Ac Milan wapo UEFA, Barcelona wapo Europa daaaah