Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Kwaio hii Barcelona ya Xavi ndio inaenda kukutana na United ya ETH
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Ubora wa Barcelona umekuwa mkubwa sana,wanaongoza ligi kwa tofauti ya alama 11 dhidi ya Madrid, wamefungwa magoli 7 pekee kwenye la liga means wana safu bora ya ulinzi.

Safu ya kiungo inaundwa na vijana wadogo kabisa lakini wanafanya majukumu makubwa Pedri, Gavi, De Jong na Bosquets wamekuwa mhimili wa timu.

Lewandowski namba zake zinaongea zaidi goli 14 kwenye La liga.

Kwaio Manchester United ndo wanaenda kukutana na Barcelona hii,au United gari limewaka nao.

Alafu kuna timu kama Ac Milan wapo UEFA, Barcelona wapo Europa daaaah[ATTACH=full]1210[/ATTACH]

[QUOTE="Sports journalist, post: 3307, member: 622"] Ubora wa Barcelona umekuwa mkubwa sana,wanaongoza ligi kwa tofauti ya alama 11 dhidi ya Madrid, wamefungwa magoli 7 pekee kwenye la liga means wana safu bora ya ulinzi. Safu ya kiungo inaundwa na vijana wadogo kabisa lakini wanafanya majukumu makubwa Pedri, Gavi, De Jong na Bosquets wamekuwa mhimili wa timu. Lewandowski namba zake zinaongea zaidi goli 14 kwenye La liga. Kwaio Manchester United ndo wanaenda kukutana na Barcelona hii,au United gari limewaka nao. Alafu kuna timu kama Ac Milan wapo UEFA, Barcelona wapo Europa daaaah[ATTACH type="full"]1210[/ATTACH] [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
Kwaio hii Barcelona ya Xavi ndio inaenda kukutana na United ya ETH
Top
Bottom