Kwamba Cancelo anaenda zake Bayern Pep anamtoa Joao aisee

sharon

Mgeni
Nov 4, 2022
105
89
5
Cancelo kama Joao pale City anacheza LB japo anatumia RF

Upande huo yupo

Nathan Ake
Na Gomez aliyemchukua toka Belgium league

Joao Cancelo anaweza pia cheza kulia km RB japo anaonekana kuenjoy zaid akicheza kushoto

Upande wa kulia yuko

Kyle Walker na
Rico Lewis

Joao Cancelo toka atoke WC amekuwa akilihudumia bench na Ake kula shavu kitendo ambacho kinamchukiza na alipojaribu kuweka hisia zake wazi Pep naskia akawaka


1675147745727.png
 
  • Like
Reactions: Zawadi