KWANI ANAJIKUTA NANI HUYU ERICK TEN HAG???

Brenda

Mgeni
Oct 31, 2022
489
403
5
Dar es salaam
"Arsenal ni wazuri lakini sio wazuri sanaa yani kiviile, tunaweza kufanya vizuri na tukachukua nafasi yao" kocha wa Manchster united akijitamba kwa maneno hayo.
8a70a7b7-8048-4469-a11a-215878859285.jpg