Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Kwani Doumbia bado hajapata Match Fitness?
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Yanga wamepoteza magoli 2 -0 dhidi ya Us Monastir, lakini magoli yote waliyofungwa Yanga leo ni ya SET PIECES yaan mipira ya kutengwa.

Kwa jinsi magoli yalivyofungwa nikawa namkumbuka beki mpya wa Yanga raia wa Mali Mahmadou Doumbia ambaye ana kimo kirefu kuzidi mabeki wote wa Yanga walioanza leo ( Bangala na Job), wachezaji wa Us Monastir walifunga magoli kwa urahisi sana.

Note: Mipira ya juu imekuwa changamoto kubwa sana sio tu kwa Yanga hata kwa Simba pia jana tumeona hili, Walimu wana kazi kubwa ya kufanya katika safu zao za ulinzi.

FT: US MONASTIR 2 - 0 YANGA [ATTACH=full]1207[/ATTACH]

[QUOTE="Sports journalist, post: 3270, member: 622"] Yanga wamepoteza magoli 2 -0 dhidi ya Us Monastir, lakini magoli yote waliyofungwa Yanga leo ni ya SET PIECES yaan mipira ya kutengwa. Kwa jinsi magoli yalivyofungwa nikawa namkumbuka beki mpya wa Yanga raia wa Mali Mahmadou Doumbia ambaye ana kimo kirefu kuzidi mabeki wote wa Yanga walioanza leo ( Bangala na Job), wachezaji wa Us Monastir walifunga magoli kwa urahisi sana. Note: Mipira ya juu imekuwa changamoto kubwa sana sio tu kwa Yanga hata kwa Simba pia jana tumeona hili, Walimu wana kazi kubwa ya kufanya katika safu zao za ulinzi. FT: US MONASTIR 2 - 0 YANGA [ATTACH type="full" alt="20230212_210729.jpg"]1207[/ATTACH] [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Kwani Doumbia bado hajapata Match Fitness?
Top
Bottom