Kwani Kapombe, Mwenda walikuwa na tofauti gani?

Feb 7, 2023
61
36
5
Mabeki wa kulia kutoka Simba Shomari Kapombe na Israel Mwenda inatajwa walikuwa hawana maelewano mazuri, hivyo mwalimu wa kikosi hiko Robertinho kuwaweka chini na kumaliza tofauti zao.

Hatua hiyo imekuja baada ya Robertinho kuridhishwa na viwango vya wachezaji wote wawili, na kuwaahidi wote watapata nafasi kwenye kikosi chake.

Je, ni kitu gani kilimkuta Mwenda mpaka kukosekana ndani ya timu kwa muda mrefu bila ya Uongozi wa Simba kutoa taarifa rasmi?
Je, ni kweli Mwenda na Kapombe walikuwa hawaelewani?
 
  • Like
Reactions: McRay