Kwanini hili suala la SportPesa Yanga wamekaa Kimya mpaka sasa?

Nabi

Mgeni
Nov 4, 2022
121
124
5
Kwanza Masuala ya kiutawala huchukua muda, na wakati mwingine yanaweza yasijibiwe kabisa

Na kuna mambo mawili ya kuzingatia;
1. Crisis Management
2. Crisis Communication.

Uongozi upo kwenye hatua ya crisis management. Itafuata hatua ya crisis communication, ingiwa wataona kuwa jambo hili lina sifa ya kuwa crisis.

Kwenye crisis communication, wanaweza kuchagua mbinu nyingi

i. Denial, uongozi unakanusha madai yote ya SportPesa

2. Silence, uongozi unaamua kukaa kimya hadi tatizo lipite lenyewe

3. Gray information, uongozi unaamua kutoa taarifa zinazochanganya zaidi na zisizo kamilika

4. Acceptance, uongozi unakubali madai ya SportPesa na kuamua kukaa nao kuyamaliza

6. Attacking, tunawashambulia kuwa hawana nia nzuri

7. Scapegoating, walaumu wao SportPesa,

8. Excusing, vipengele vya mkataba havijatufunga

9. Apology, samahani, tumekosea

10. Justification, tumeona tuongeze vyanzo vya mapato

11. Compensation, tunamlipa fidia, tunavunja mkataba

1675320212370.png