Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Kwanini SHAFFIH DAUDA Anapinga Kurejea Kwa Mo Dewji Uongozi Simba?
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Dauda amepinga uwepo wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba, kwa kusema Simba inatakiwa kuwa ya Mwenyekiti Mangungu.

“Mashabiki wa Simba waelewe hakuna mtu ambaye anapinga jitihada zilizofanywa na Mohammed Dewji , kila mtu anatambua mchango wake, Mjadala ambao tunajadili ni uhalali wa bodi ya Simba “

“Simba inatakiwa kuwa chini ya Mangungu lakini mashabiki hawataki kulisikia hilo , leo hii tunaambiwa Mo anarudi ! Je anakuja kuwa mwenyekiti wa bodi ipi ? “

“Ili bodi iwe hai ni lazima mchakato uwe umekamilika , huu mchakato wa Simba umekwama”

“Uongozi wa Simba uliopo ,upo kwa nguvu ya wanachama ambayo ndio Simba ya sasa hivi na kiongozi wao ni Mangungu na yeye ndio anayeendesha shughuli za kila siku za klabu”

“Mo kama anataka kuingia Simba na ili awe na nguvu kwa huu mfumo uliopo sasa hivi inabidi asubiri miaka minne ufanyike uchaguzi agombee kama Mangungu”

“Baada ya hapo atakuwa mwenyekiti wa Simba ambaye anatambulika kiutaratibu wa uendeshaji wa Klabu”

“Kinachofanyika sasa hivi ni kwa sababu Mo ana hela sana lakini lazima kuwe na utaratibu unaoeleweka na watu wasifiche vitu”

[QUOTE="Bakari, post: 5282, member: 2316"] Dauda amepinga uwepo wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba, kwa kusema Simba inatakiwa kuwa ya Mwenyekiti Mangungu. “Mashabiki wa Simba waelewe hakuna mtu ambaye anapinga jitihada zilizofanywa na Mohammed Dewji , kila mtu anatambua mchango wake, Mjadala ambao tunajadili ni uhalali wa bodi ya Simba “ “Simba inatakiwa kuwa chini ya Mangungu lakini mashabiki hawataki kulisikia hilo , leo hii tunaambiwa Mo anarudi ! Je anakuja kuwa mwenyekiti wa bodi ipi ? “ “Ili bodi iwe hai ni lazima mchakato uwe umekamilika , huu mchakato wa Simba umekwama” “Uongozi wa Simba uliopo ,upo kwa nguvu ya wanachama ambayo ndio Simba ya sasa hivi na kiongozi wao ni Mangungu na yeye ndio anayeendesha shughuli za kila siku za klabu” “Mo kama anataka kuingia Simba na ili awe na nguvu kwa huu mfumo uliopo sasa hivi inabidi asubiri miaka minne ufanyike uchaguzi agombee kama Mangungu” “Baada ya hapo atakuwa mwenyekiti wa Simba ambaye anatambulika kiutaratibu wa uendeshaji wa Klabu” “Kinachofanyika sasa hivi ni kwa sababu Mo ana hela sana lakini lazima kuwe na utaratibu unaoeleweka na watu wasifiche vitu” [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Ligi Kuu Bongo
Kwanini SHAFFIH DAUDA Anapinga Kurejea Kwa Mo Dewji Uongozi Simba?
Top
Bottom