Kwanini Spain inatoaga mchezaji Bora ikiwa ligi ngumu zaidi ni EPL?

Brenda

Mgeni
Oct 31, 2022
489
403
5
Dar es salaam
Aina la soccer ni tofauti...
Epl ni ngumu kutokana na soka lao...pia timu zao zina Pesa sana uwezi fananisha brighton saivi na osasunya...its different ...

Spain inatoa most wachezaji bora...ni kwasababu...inakiwakisha...ulaya...

Kuna msemo kua...licha ya uingereza kua bora kiushindani...ukichukua madrid au barca ...katika EPL still zitagombania nafas ile ile ya kwanza au ya pili...

So Spain sometimes wanacheza na timu chovuu haswa katika kipindi cha nyuma...

But ukweli ni kwamba Epl ni ligi ngumuu...ila kuna timu kibao spain zinaeza zika outplay anyone in epl.