Lakini sisi tunataka timu inunuliwe na mwarabu bana huyu katokea wapi tena😒

Brenda

Mgeni
Oct 31, 2022
489
403
5
Dar es salaam
Mchakato wa kuinunua United umeanza..

Sir Jim Ratcliffe amethibitisha kuwa ameingia rasmi kwenye kinyang'anyiro cha kuinunua Manchester United kutoka kwa Glazers:

“Tumejiweka rasmi kwenye mchakato.” Amesema Sir Jim Ratcliffe

435E53D1-F623-48C0-82EE-C113608EC7AF.jpeg