Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Nyumbani
Majukwaa
Story Mpya
Tafuta Majukwaa
Story Mpya
Posti Mpya
Posti Mpya za wasifu
Vilivyofanyika
Wanachama
Wanaotembelea kwa sasa
Posti mpya za wasifu
Tafuta Posti za wasifu
Ingia
Jiunge
Tafuta
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Tafuta vichwa vya habari tu
Kutoka kwa:
Menu
Install the app
Install
Reply to thread
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
LaLiga: Wachezaji wawili wa Barcelona wamekataa juhudi za kumrejesha Messi
JavaScript is disabled. For a better experience, please enable JavaScript in your browser before proceeding.
You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.
You should upgrade or use an
alternative browser

Message

Matumaini ya Lionel Messi kurejea Barcelona kuendelea na maisha yake ya soka yamepata pigo kubwa.

Hii ilikuwa baada ya wachezaji wawili wa klabu hiyo kukataa kupunguza mishahara yao.

Express Sport inaripoti kwamba Franck Kessie na Andreas Christensen walifikiwa na Blaugrana kupunguza mishahara yao ili kumudu fowadi huyo mkongwe.

Kulingana na ripoti hiyo, wachezaji wote wawili waliojiunga na wababe hao wa Catalan kutoka AC Milan na Chelsea, mtawalia msimu uliopita wa joto, walikataa.

Klabu hiyo sasa inakabiliwa na kibarua kikubwa ikiwa itabidi kumrejesha fowadi huyo wa Paris Saint-Germain katika klabu hiyo kutokana na matatizo yao ya kifedha yanayoendelea.

Nyota huyo wa Argentina aliwaacha wababe hao wa Catalan na kuhamia Parc des Princes msimu wa joto wa 2021 baada ya mkataba wake kumalizika Camp Nou, huku klabu hiyo ikikumbwa na msukosuko wa kifedha.

Mshindi huyo wa Kombe la Dunia anaonekana kukaribia kuondoka tena PSG mkataba wake utakapomalizika msimu huu wa joto baada ya kukataa ofa ya kuongeza mkataba wake.

[QUOTE="Lukac, post: 3655, member: 472"] Matumaini ya Lionel Messi kurejea Barcelona kuendelea na maisha yake ya soka yamepata pigo kubwa. Hii ilikuwa baada ya wachezaji wawili wa klabu hiyo kukataa kupunguza mishahara yao. Express Sport inaripoti kwamba Franck Kessie na Andreas Christensen walifikiwa na Blaugrana kupunguza mishahara yao ili kumudu fowadi huyo mkongwe. Kulingana na ripoti hiyo, wachezaji wote wawili waliojiunga na wababe hao wa Catalan kutoka AC Milan na Chelsea, mtawalia msimu uliopita wa joto, walikataa. Klabu hiyo sasa inakabiliwa na kibarua kikubwa ikiwa itabidi kumrejesha fowadi huyo wa Paris Saint-Germain katika klabu hiyo kutokana na matatizo yao ya kifedha yanayoendelea. Nyota huyo wa Argentina aliwaacha wababe hao wa Catalan na kuhamia Parc des Princes msimu wa joto wa 2021 baada ya mkataba wake kumalizika Camp Nou, huku klabu hiyo ikikumbwa na msukosuko wa kifedha. Mshindi huyo wa Kombe la Dunia anaonekana kukaribia kuondoka tena PSG mkataba wake utakapomalizika msimu huu wa joto baada ya kukataa ofa ya kuongeza mkataba wake. [/QUOTE]
Verification
Kwani 1 + 1 = ni ngapi?
Post reply
Majukwaa
Maskani ya Michezo na Mikeka
Kijiwe cha Biriani la Ulaya
LaLiga: Wachezaji wawili wa Barcelona wamekataa juhudi za kumrejesha Messi
Top
Bottom