"Laliga inayo toa pongeza za dhati kwa klabu ya YANGA SC kwa kuwa klabu ya kwanza kufikia rekodi ya kutokufungwa katika mechi 49 za ligi kuu ya Tanzania. Hii ni rekodi pekee Tanzania na ukanda wa afrika mashariki na kati. Hongera sana WANANCHI."